Wazanzibar muungano tutaununua...

Wazanzibar muungano tutaununua...

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu wazanzibar,Ni muda mrefu sasa tumekua ktk manung'uniko kwamba serikali ya Muungano(Tanganyika) wanatunyonya.

Kumekua na rai nyingi sana za kutaka mamlaka kamili ya nchi Zanzibar ili tujiendeshe kama nchi nje ya Jamhuri ya Muungano.

Wapo wazanzibar walofika mbali zaidi na kusema sasa Muungano basi.

1.Napenda niwaulize ndugu zangu wazanzibar kabla hatujapaza yowe la kuukataa muungano huu je tumejiandaaje kujiendesha kama nchi kamili nje ya Muungano.

2.Niwajuze wazanzibar wenzangu kelele na manung'uniko yetu yamewaamsha watanganyika sasa wako mbioni kupata nchi yao nje ya muungano.wao wamejipanga tayari kwa hilo.

3.Ndugu zangu wazanzibar kama tulikua tunafanya utani wenzetu wapo serious,kiuchumi,kisiasa.
Wamejiimarisha ktk nyanja nyingi muhimu kama nchi.JE sisi tumejiandaaje!

Rai yangu kwenu mdundo huu wa kuvunja muungano usituleweshe naona mwisho wake tutakuja kuwapigia magoti watanganyika turudiane kuungana.

Upepo wa mabadiko
Upepo wa kisiasa
Lazima tuangalie tuna vyuo vikuu,vyanzo vya mapato zanzibar,ajira,n.k
Malalamiko na manung'uniko yasio na tija hayafai.

Ukimuona mtu mzima na akili zake tena muungwana kindakindaki ANATEMA ASALI NA KUTAMANI PILIPILI Ujue ipo maneno hapo.

WAACHWE ZANZIBAR WAPUMUE.

Pole sana.
 
Wenzenu utalii wanauheshimu maana wanajua kua ni kitu kinachoingizia mapato mataifa yao, sasa nyie mtaweza?maana ktk kipindi cha Mwezi Mtukufu tu mwanamke akionekana hajafunika kichwa huchapwa,au mtu akionekana anakula hadharani kosa. Mtaweza?

Wacha kuongea kitu usichokijua, unapata faida gani kusema uongo?

Jibu haraka
 
Sijawahi kuona mzanzibar bweege kama wewe hivi wazanzibar wanavyotukanwa humu hauoni.

Yaani huyu Makame ni mpuuzi wenzake wanajipapatua katika makucha ya mkoloni Tanganyika yeye anawavunja moyo.Mijitu kama hii ni halali kuimwagia tindikali.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Last edited by a moderator:
Yaani huyu Makame ni mpuuzi wenzake wanajipapatua katika makucha ya mkoloni Tanganyika yeye anawavunja moyo.Mijitu kama hii ni halali kuimwagia tindikali.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk

Naona muda si mrefu utapata mimba ya utotoni.
Kueleza mtazamo wangu ndo kuvunja moyo?
Ndio maana kukawa na mijadala na tume chungu mzima kuujadili huu Muungano.
Kwa ujinga wako nikuulize ulishawahi kumuona hata kiongozi mmoja wa SMZ aliyejiweka wazi hautaki huu muungano?
Jiulize kwanini?
 
Last edited by a moderator:
Aah kwendeni zenu huko pu.mb.a.vu kbs kazi ulalamishi tu,shule hamtaki kwenda,kazi kupenda vya bure tu, waarabu wamewaharibu saana nyie, mnafikiri Zanzibar ya kuifananisha na Singapore itakuja kwa kutoenda shule, kushinda vibarazani mkicheza bao na kuendekeza uvivu?Hatuna shida na nyie kwanza mnatutia hasara tu,shen.z.i type

Km na wewe umesoma, basi umesomea matusi.

Acha jazba kijana. Mwenzio kakwambia nini we wamjibu nini?

Hayo unayoyasema hata bara yapo, au hujawahi kuona watu wakicheza bao huko kwenu?
 
Zbar kuna watu wana msimamo ambao ni mkali. Wapo wasiotaka kusikia kwamba muungano uvunjike, ambao ni wale walio ktk utawala. Wanafahamu jinsi wanavyoihitaji bara ili kuiendesha zbar kama nchi. Bajeti ya zenj haitoshi kabisa!

Kundi la pili ni kama huyu mchangiaji, Mike, wao wanaona liwalo na liwe na wanaamini muungano ukifa watapata misaada toka arabuni na hasa Oman. Tumaini kama hili ni mfilisi kwa sababu sidhani kama oman bado inahitaji kuwa na koloni la kutawala. Hamu ya kuwa karibu na nchi za kiarabu ni kubwa kiasi kwamba ukoo ukiwa na binti aliyeolewa arabuni, huwa na hadhi ktk jamii. Hiyo ndo zbar. Watakataa lakini ndo ukweli.

Jiulizeni; kweli munaamini kuna mwarabu aliye na faida ya kuwasaidia zbar? Kuna nini? Karafuu haipo tena! Nani aje zenj!

leteni umwamba lakini bara ni roho yenu, tangu nyama ya ng'ombe hadi mkaa wa kupikia na hata soko la biashara zenu. Kwa kutoelewa bara wanakuwa Tanganyika sasa.

Kwan nje ya muungano hayo uyasemayo hayawez kufanyika??

Kama wanaitaka zanzibar yao kwanin wasipewe??
 
Naona muda si mrefu utapata mimba ya utotoni.
Kueleza mtazamo wangu ndo kuvunja moyo?
Ndio maana kukawa na mijadala na tume chungu mzima kuujadili huu Muungano.
Kwa ujinga wako nikuulize ulishawahi kumuona hata kiongozi mmoja wa SMZ aliyejiweka wazi hautaki huu muungano?
Jiulize kwanini?

Kama wewe una historia ya kupata mimba za utotoni pole sana,sio wote wako hivyo,

Na siku zingine utumie akili,usipende kufikiri kwa kutumia ma.kali.o,,au kigongo gongo,kwa hao viongoz wa SMZ kutojiweka wazi kuutaka au kuupinga uongoz ndiyo hoja ya kusema kwamba wazanzibar wanautaka muungano??

Kama umetumwa na hao wanaokuweka mjin nenda kawaambie waje wenyewe,kazi ishakushinda hii makamasi,,oh sorry lady makame
 
Bora umejitetea mapema maana ungerushiwa madongo na wasioangalia hoja bali makosa ya lugha. Lakini inaeleweka ukimaanisha "Huwezi kuona umuhimu wa kitu mpaka unapokuwa umekipoteza au kimekutoka" na wakati mwingine kama unachoandika unakielewa tumia KISWAHILI tu hiki kiingereza tukilazimisha tunaweza kuvunjika mishipa ya ulimi

Thanks, I mean Asante!!!
 
Aah kwendeni zenu huko pu.mb.a.vu kbs kazi ulalamishi tu,shule hamtaki kwenda,kazi kupenda vya bure tu, waarabu wamewaharibu saana nyie, mnafikiri Zanzibar ya kuifananisha na Singapore itakuja kwa kutoenda shule, kushinda vibarazani mkicheza bao na kuendekeza uvivu?Hatuna shida na nyie kwanza mnatutia hasara tu,shen.z.i type

"maandishi yako yaonesha degree ngapi umechukua huko 'shule' ulipoenda wewe!"
 
Kwa mbaali naona maneno ya huyu mpemba Makamee yanaanza kutimia.
Wazanzibar wameanza kuufyata kudai Zanzibar huru yao,
Viongozi wao wakiwa chumbani wanasema serikali 3 lakini wakitoka hadharani wanasema 2,
unafiki mtupu.
 
Ndugu zangu wazanzibar,Ni muda mrefu sasa tumekua ktk manung'uniko kwamba serikali ya Muungano(Tanganyika) wanatunyonya.

Kumekua na rai nyingi sana za kutaka mamlaka kamili ya nchi Zanzibar ili tujiendeshe kama nchi nje ya Jamhuri ya Muungano.

Wapo wazanzibar walofika mbali zaidi na kusema sasa Muungano basi.

1.Napenda niwaulize ndugu zangu wazanzibar kabla hatujapaza yowe la kuukataa muungano huu je tumejiandaaje kujiendesha kama nchi kamili nje ya Muungano.

2.Niwajuze wazanzibar wenzangu kelele na manung'uniko yetu yamewaamsha watanganyika sasa wako mbioni kupata nchi yao nje ya muungano.wao wamejipanga tayari kwa hilo.

3.Ndugu zangu wazanzibar kama tulikua tunafanya utani wenzetu wapo serious,kiuchumi,kisiasa.
Wamejiimarisha ktk nyanja nyingi muhimu kama nchi.JE sisi tumejiandaaje!

Rai yangu kwenu mdundo huu wa kuvunja muungano usituleweshe naona mwisho wake tutakuja kuwapigia magoti watanganyika turudiane kuungana.

Upepo wa mabadiko
Upepo wa kisiasa
Lazima tuangalie tuna vyuo vikuu,vyanzo vya mapato zanzibar,ajira,n.k
Malalamiko na manung'uniko yasio na tija hayafai.

jusa atakuelewa lakini?
 
Mmh naaona ahali yangu unaandika ili ufurahishe barza na kupendezesha watu lakin inaelekea hauko Serious.

Ni maandalizi gani unayoyataka wewe zaidi kwanza kupata mamlaka kamili ya kiuchumi na maamuzi kama nchi. Kumbuka kuwa Znz tayari ina Serikali , mahakama na Bunge. Hivyo ni vitu tayari vipo labda utudadavulie ni nii cha ziada unachohitaji?

Wa kuwaonea huruma ni wa TGK ambao mpaka sasa hawana Serikali, Bunge wala mahakama achilia mbali Katiba. Unatakiwa ujue kuwa vilivyopo vyote katika Muungano ni vitu ambavyo Bila Znz havina uhalali kwa maana nyingine ni vitu vya muungano wa nchi mbili huru yaani TGK na ZNZ na wala sio vya TGK peke yao.

TGK bado hawajashituka bali wengi wamelala usingizi wa pono ndio maana kuhusu muungano CCM ina uhakika wa kupata 2/3 ya kura za maamuzi bali kizungumkuti kipo Znz ambao 2/3 ya kura ya maamuzi haiwezi abadan kupatikana. Nafikiri umeona katika Bunge maalum la Katiba msimmamo wa Znz.

Labda nikuulize JE UNAWEZA KUJIULIZA KWANINI UKAWA WALIANZIA MIKUTANO YAO ZNZ?

Lakin la mwisho waswahili wanasema " mtoto akililia wembe mpe ukimkata shauri yake" Sasa kwanini Znz wasiachwe huru?

Au ndio yale alosema LUKUVI itajiunga na kuwa Islamic state. Jiulize kwani kuwa Islami state ni kosa kisharia au ni dhambi kama wananchi wenyewe wataamua hivyo?

Ahali yangu fikiria kabla kuandika kwani waarabu tunasema hivi " UKIMUONA MTU NA AKILI ZAKE TIMAMU ANATEMA ASALI NA KUTAMANI PILIPILI UJUE KUNA JAMBO HAPO"

WAACHWE ZNZ WAPUMUEEEEEEEE.

Wazanzibari mnaweza kujiendesha wenyewe bila msaada wa nchi yoyote duniani. Tatizo lenu hamjiamini na mnatabia ya kusingizia watu wengine kwa matatizo yenu ya ndani. Ushauri wa bure kwenu ni kuwa kama kweli mmeamua kuvunja muungano basi vunjeni halafu msimamie uchumi wenu vizuri ili muwe kama nchi nyingine za visiwa zilizoendelea kama Singapore, Mauritius etc. Vinginevyo fungeni midomo yenu ndani ya muungano muache malalamiko yasiyokuwa na kichwa wala miguu tujenge Tanzania yetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom