Sababu kuwa Mzanzibari ni mtanzania na amepiga kura kumchaguwa Raisi waTanzania.Na kwanini Mzanzibar anaongoza wizara zisizo za muungano huku bara wakati Mtanganyika hawezi kuongoza wizara zisizo za muungano Zanzibar ?
Lakini mtanzania bara hakupiga kura kumchaguwa Raisi wa Zanzibar.
Umeelewa hapo.