Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,620
- 69,356
Nakusomaga sis kwenye hizi ishu unanipaga nguvu fulani ya kujilipua,, acha Corona iishe nitakujuzaIngekuwa bora sana tu kuliko kufia hapa mikosi mitupu.
Nakusomaga sis kwenye hizi ishu unanipaga nguvu fulani ya kujilipua,, acha Corona iishe nitakujuzaIngekuwa bora sana tu kuliko kufia hapa mikosi mitupu.
Niliona jana muethiopia mmoja anamiliki duka la madawa kwenye ule mtaa aliouliwa FloydKtk maisha haya ya wasafiri wenye roho ngumu now wamebaki Ethiopians tu,,,hawa jamaa niliona story yao Fulani kwenye channel 24 ya France..jamaa wanatembea kwa miguu hadi Yemen,,halafu wanatembea tena kwa miguu hadi saudia,,,duu,,hyo safari ni hatari,,wanakwambiya wanatoka Ethiopia ,na inakuwa ni kwa miguu ,,,hadi Djibouti..hapo wanaingia Yemen kwa mitumbwi...halafu wanaitafuta Saudi Arabia kwa miguu,,..siku nilipoona story zao za utafutaji maisha hadi kufika Yemen,,to Saudi.... Nilijiona chamtoto kabisa,,tena wanakwambiya wanaanza safari wakiwa watu kama 40 wanawake na wanaume,, wanafika Yemen labda wapo 20 tu au watu 30 tu..hao wengine wamekufa njiani,,either kwa njaa au kuliwa na Wanyama wakali au maradhi,,,,.safari yao hadi kufika Yemeni ni miezi 3..wanaishi kwa kula vyakula vya kwenye mapipa na makombo ya Chakula cha hotel..wakifika Yemen inawalazimu kuhangaika tena kupata pesa kuingia kujikimu na kupata nguvu zingine kabla ya kuanza safari ingine ya Saudi Arabia,,,na kufika Saudi Arabia itawalazimu tena mwezi,,,na safari yao kwa ujumla inawagharimu kama miezi 6 kutoka ethiopia ,,kufika yemen na kuishi hapo yemen hadi kufika saudia ,,.hawa jamaa nimewavika kofia na vyeo vya chuma kwa roho ngumu..njiani wanawake wanabakwa..wao wanakufa mfano kugongwa na magari maana wanatembea pembeni ya barabara kuu wakifata magari yanapoelekea....uzuri ninkwamba hawa jamaa wana heshimu sana pesa,,wengi ni matajiri wakimiliki maduka makubwa ya nguo na supwr markets....popote waendapo,,kuanzia south Africa Hata huko kwengineko.,...
Kama umeshindwa ku take chances kwenye msimu wa Corona, hali ikiwa calm ndio utashindwa completelyNakusomaga sis kwenye hizi ishu unanipaga nguvu fulani ya kujilipua,, acha Corona iishe nitakujuza
Wazungu wanamaanisha gay ni yule mtu anayeshiriki au anayefanya mapenzj ya jinsia moja,,,,especially mwanaume kwa mwanaume,,,hata yule mende anayetafuna shoga nae pia ni gay...sisi ndy tunatofautisha shoga na MENDE,,,, lakini chama cha kuetetea mashoga ni muunganiko wa anayeliwa na anayekula wote ni gays mkuu...wote ni kundi moja....gaysDaaah
Hivi gay ni yule anayeliwa au anayekula ?
Hao jamaa sijuwi wana siri gani na biashara... Halafu popote walipo wana vyama vyao vya kusaidia.... Na hao pia hawajihesabu kama waafrica..wana ubaguzi Fulani hivi hata ukikutana nao juu...ila wanawake wao ndy mapoozeo ya mabaharia wengi sana ulaya.....Niliona jana muethiopia mmoja anamiliki duka la madawa kwenye ule mtaa aliouliwa Floyd
Sasa nime fake kuwa mimi ni gay(mtafunaji)Wazungu wanamaanisha gay ni yule mtu anayeshiriki au anayefanya mapenzj ya jinsia moja,,,,especially mwanaume kwa mwanaume,,,hata yule mende anayetafuna shoga nae pia ni gay...sisi ndy tunatofautisha shoga na MENDE,,,, lakini chama cha kuetetea mashoga ni muunganiko wa anayeliwa na anayekula wote ni gays mkuu...wote ni kundi moja....gays
Wana wanawake wazuri kama wanywarwanda. Tatizo hawana inyeHao jamaa sijuwi wana siri gani na biashara... Halafu popote walipo wana vyama vyao vya kusaidia.... Na hao pia hawajihesabu kama waafrica..wana ubaguzi Fulani hivi hata ukikutana nao juu...ila wanawake wao ndy mapoozeo ya mabaharia wengi sana ulaya.....
Sasa nime fake kuwa mimi ni gay(mtafunaji)
Nikapata access ya kufika France mfano, baada ya kufika kule nikasema nimeamua rasmi kubadili aina hii ya mahusiano. Watanichukulia hatua zipi ?
Wapo wazuri hatari,,,tatizi lao Mimi nawaogopa watu wamegegeda sn njia nzima hadi kufika huko ulipomkuta....lakini wazuri sn tu,,unapokua unapekechua mwanamke wa kiethiopia ni kama unapekechua mtoto wa kiarabu ...vitu vyeupe tupu....unakula hadi kujiramba vidole,,,*****,,,,Wana wanawake wazuri kama wanywarwanda. Tatizo hawana inye
Halafu baadae msikike mkisema mwafrika sawa na mweupe wakati nyie wenyewe mnawatamani weupe. Inaelekea tunapigania kitu ambacho hata wenyewe hatukiaminiWapo wazuri hatari,,,tatizi lao Mimi nawaogopa watu wamegegeda sn njia nzima hadi kufika huko ulipomkuta....lakini wazuri sn tu,,unapokua unapekechua mwanamke wa kiethiopia ni kama unapekechua mtoto wa kiarabu ...vitu vyeupe tupu....unakula hadi kujiramba vidole,,,*****,,,,
Ma stowawayKuna rafiki yangu mmoja, kati ya mwishoni mwa miakaya 90 na mwanzoni mwa mwaka wa 2000 alizamia kwenda Ulaya. Safari za kipindi hicho ilikuwa za kibabe kweli mtu anaanza safari hana hata passport. Safari ilimpeleka mpaka Libya lengo ni kwamba ilikuwa aingie Morroco then wavushwe kuelekea Spain.
Katika safari hiyo alikutana na majanga mengi sana sana. Amenusurika kufa zaidi ya mara 20 tena akiwa ameshaona kaburi.
Sasa anadai akiwa Libya, anadai walibya ni wabaguzi sana hasa kwa Waafrika wenzao weusi. Anadai ukipanda usafiri wa umma wanawake walikuwa wanaziba pua. Anasema muda mwingine ulikuwa ukipita mtaani unaona mama anaokota jiwe anampa mwanae akurushie.
Anadai sasa kimbembe uje ukutane na vijana walikuwa wanajiita Aska Boys (sina hakika kama nimewapatia). Anasema walikuwa wanatabia wanakuja na magari wanakuweka mtu kati, wanafungua boot wanatoa marungu, watakupiga mpaka ufe.
Sasa anasema akiwa Libya, alikuwa hana pesa kabisa na kutoka Libya ili uvushwe uende Morocco mpaka upande boat kuendelea na safari, ilikuwa inahitajika pesa nyingi. Yeye kwa muda huo aliikuwa ashageuka kuwa kama chokoraa. Na kipindi hicho mauaji kwa wageni yakawa yameongezeka.
Anadai katika kundi lao allikuwepo jamaa katoka Ethiopia ni Muorthodox alikuwa akisali sana sana. Jamaa akamfuata akamwambia amsaidie pesa kidogo ili aweze kuondoka pale maana wenzake walikuwa wengi wao wana mpango wa kuondoka baada ya hali kuwa mbaya.
Jamaa eti akamuuliza, huna mtu anayeweza kukutumia pesa. Jamaa akamwambia sina ila kuna kaka yangu ana pesa nyingi sana ila hawezi kunipatia pesa maana hata hii safari nimeianza kwa kumkumbia yeye alikuwa anataka kuniua. Jamaa akamwambia, usiku njoo nikufanyie maombi, lakini iwe saa tisa usiku.
Kweli usiku wa saa tisa akaenda, eti jamaa akachora chora mviringo sakafuni akamwambia aingie kati, kisha wakaanza kumuombea yeye na wenzake.
Baada ya maombi akamwambia asubuhi kampigie simu kaka yako, mwambie akutumie dollar 2000, atakutumia. Usipunguze na wala usiongeze. Jamaa anadai kesho yake akaenda sehemu ya kupiga simu akampigia simu kaka yake, alipomueleza hakubisha kabisa ila akamwambia atamtumiaje ile pesa.
Kipindi hicho anasema Libya kulikuwa hakuna huduma za Western Union, wala Money Gram. Anadai watu walipokuwa wakitaka kupokea pesa, kulikuwa na mzungu raia wa Spain pale ana ofisi iko kisiwa cha Lampedusa, hivyo pesa inatumwa kwenda Lampedusa, akiconfirm imefika kule unaenda kwake anakupa cash pale Libya.
Basi jamaa akawa ametumiwa pesa akaondoka pale. Japo huko mbele alipata majanga mengine.
Jamaa alifanikiwa fika Mexico, Equador na huko pia alipata majanga hadi akapoteza korodani baada ya kuanguka mikononi mwa drug dealers.
Chong a mchongo na wabongo waliopo kuleNapataje connection na black wa kike. Ili act kuwa mke wangu ?
Kwa hivyo wanakutafutia patna wa kukufir...a that is a crapp....na my be hii ndio proof yao kujua hudanganyi!!?Sasa hivi kufake marriage ni ngumu kidogo ulaya,,, njia PEKEE na ya kirahisi ni kufake gender,,,, wengi wanasema gays..ukisema wewe ni gay na huko ulipotoka umekoswakoswa kukamatwa uuliwe,,,duu...hata miezi mitatu haifiki ushapewa makaratasi ya kuishi ,na wanakutafutia partner so fast akuliwaze...duu wazungu hawa...ni balaa...laana tupu
Kuna mwamba humu alinipaga hiyo idea..yeye ana ndugu kule tena maza! Bas tukajipa 3mths kufind nauli tu ya kuanzia ..si corona ikaja na yake!? Hahhaa...ila mie nikienda ntafata wanangu niishi huko huko aisee! Napanga tu mipango kimya kimya...amua sasa😉Nakusomaga sis kwenye hizi ishu unanipaga nguvu fulani ya kujilipua,, acha Corona iishe nitakujuza
Slim kule wanafika wenye nazo ujue😋😋!Wewe tungekutana hukooo Ma Copa Cabana nisingekuacha
Linchi halieleweki hili,, ukipata nafasi unajilipua tu, nisipoamua Sasa ndo basi tenaKuna mwamba humu alinipaga hiyo idea..yeye ana ndugu kule tena maza! Bas tukajipa 3mths kufind nauli tu ya kuanzia ..si corona ikaja na yake!? Hahhaa...ila mie nikienda ntafata wanangu niishi huko huko aisee! Napanga tu mipango kimya kimya...amua sasa😉
mbona unanikata maini Sasa na wewe, wakati hujui mi Nani, naenda kufanya nini nk?Kama umeshindwa ku take chances kwenye msimu wa Corona, hali ikiwa calm ndio utashindwa completely