Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Acha namimi nishare ideal yangu hapa,
Hii kwavijna mwenye ndoto ya kwenda huko wanakokuita Europe.
Moja, futa wazo la kutaka kujilipua! Kwasababu utakapo fanya hivyo utajiharibia status yako ya Utanzania. Kwa saivi Ulaya warabu kutoka Syria na nchi nyingine za Africa kwa kuzamia saiv siyo rahisi na pia kupata karatasi imekuwa ngumu sana,
Kuna njia moja ambayo ukiitumia ndoo itakuwa rahisi sana kuingia ulaya.
Njia yenyewe ni:
Kuoa au kuolewa,
Tafuta mwanamke au mwanaume mwenye uraia wa ulaya hapo utakuwa umefanikiwa kiasi,
Zanzibar ni sehemu ya kutimiza ndoto yako nina uhakika 100% kama una swali lolote niulize.
Samahani kwa mwandiko wangu mbaya!
Aisee umenikumbusha mbali..dah "Pen pall" maisha yanaenda kasi sana..kipindi hicho tamthilia tunaangalia days of our lives.Nakumbuka kulikua na ishu ya penpal..au penfriend...hhaa nilikua na penpal mtu na mkewe hawanaga mtoi..basi nikajieleza balaa kwa dingi haelewi somo...dah! Those yrs ..sio vitoto vyw miaka hii havina hata mawazo hayo
Tanzania maisha mazuri. Tanzania utapaona pabaya kama huna hela. Kule ni kwa kwenda vacation sio kuishiHivi ni bora kuishi kama mbwa huko ulaya au kama mtu Tz????!!!
Nikienda Zenji urahis naupataje mkuu?
Muda huo bado hujachelewa,,,kila MTU anakwenda ulaya kwa lengo lake,,,,umri huo wa 40 ukilieleza vzr baada ya miaka 2 unapata uraia,,,,je ukiwa n passport ya ulaya huoni kama ni fursa?unaweza ukaja kuendelea na maisha mengine hapa bongo lakini ukitaka kwenda ulaya ni ticket yako tu...unakwea mwewe,,,upo Spain,,au Belgium,, Au Italy,,au Sweden,, Austria,,, unakaa week unarudi bongo,, huku ukiendelea kupokea euro 800 kama raia kila mwezi zinaingizwa na serikali ktk acc yako..usione watu wanaohangaika na kuitafuta ulaya,,,hapa Africa ni kama tupo mwituni mkuu,,,...wale Wanyama wakali ndy wanaotamba,,,,lakini hakuna usawa mkuu...wenzetu wana usawa na haki...
Kweli mkuu sio story... Hivi unajuwa jela ulaya pia unalipwa pesa? Au pia unadhani ni story? Mimi nimekaa huko kote mkuu...naongea vitu nimeona...Mimi huwa najua ni story tu
Mkuu ndy hali HALISI....Daaaa et unatafutiwa patna wa kukuliwaza ***** so unaenda kuliwa kiboga kweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Anybodyanaye fake marriage ni mwanaume au mwanamke?
MkuuMkuu ni nchi gani wanatoa hela bure hivi kwa mwezi? Tena Euro 800?
Nimejikuta nimecheka sanaKwahiyo mkuu hauna korodani?
Ukiwakuta Europe au USA anadharua sana wanajiona wao sio waafricaKtk maisha haya ya wasafiri wenye roho ngumu now wamebaki Ethiopians tu,,,hawa jamaa niliona story yao Fulani kwenye channel 24 ya France..jamaa wanatembea kwa miguu hadi Yemen,,halafu wanatembea tena kwa miguu hadi saudia,,,duu,,hyo safari ni hatari,,wanakwambiya wanatoka Ethiopia ,na inakuwa ni kwa miguu ,,,hadi Djibouti..hapo wanaingia Yemen kwa mitumbwi...halafu wanaitafuta Saudi Arabia kwa miguu,,..siku nilipoona story zao za utafutaji maisha hadi kufika Yemen,,to Saudi.... Nilijiona chamtoto kabisa,,tena wanakwambiya wanaanza safari wakiwa watu kama 40 wanawake na wanaume,, wanafika Yemen labda wapo 20 tu au watu 30 tu..hao wengine wamekufa njiani,,either kwa njaa au kuliwa na Wanyama wakali au maradhi,,,,.safari yao hadi kufika Yemeni ni miezi 3..wanaishi kwa kula vyakula vya kwenye mapipa na makombo ya Chakula cha hotel..wakifika Yemen inawalazimu kuhangaika tena kupata pesa kuingia kujikimu na kupata nguvu zingine kabla ya kuanza safari ingine ya Saudi Arabia,,,na kufika Saudi Arabia itawalazimu tena mwezi,,,na safari yao kwa ujumla inawagharimu kama miezi 6 kutoka ethiopia ,,kufika yemen na kuishi hapo yemen hadi kufika saudia ,,.hawa jamaa nimewavika kofia na vyeo vya chuma kwa roho ngumu..njiani wanawake wanabakwa..wao wanakufa mfano kugongwa na magari maana wanatembea pembeni ya barabara kuu wakifata magari yanapoelekea....uzuri ninkwamba hawa jamaa wana heshimu sana pesa,,wengi ni matajiri wakimiliki maduka makubwa ya nguo na supwr markets....popote waendapo,,kuanzia south Africa Hata huko kwengineko.,...
Kupata makaratasi ni Bahati mkuu mm Mjomba yupo Greece amepata kama msomaliMkuu nimekwambiya kila mtu ana sababu zake kwann unajilipua ulaya,,hata mm nilishindwa kujilipua Greece nikiwa na umri wa miaka 32 ..na kilichonifanya nirudi ni kutopata nafasi ya kupata makaratasi kwa wakati,,,na bado kuna watu hadi Leo mwaka wa 12 wapo pale hawajapata makaratasi,,, kama ingekuwa kusubiri miaka 2 isingekuwa tatizo kusubiri,,,kuna watu shida yao ni makaratasi tu,,kuna watu shida yao kuishi ulaya...unaweza ukajilipuwa kwa miaka miwili ,,ikakusaidia miaka ijayo....kumbuka unapojilipuwa kuna pesa unapewa za kujikimu,,,mfano euro 300 utalipwa kila mwezi,, hazitoshi kusaidia family wakati ukisubiri makaratasi? Kinachoumiza watu wengi ni wivu...
Ni kweli mkuu,,,,hata mm nilikimbia sababu hyo,,,,system yao ya interview haipo sawa pale,,,lakini mwaka 2014 UN ilitoa amri border zote ziwe free,,na migrants wote wa Greece waachwe waende wanapopataka,,,ndni ya mwezi mmoja,,then ziwe tight tena,,,basi hapo ndy migrants wengi walikimbilia ulaya zingine mfano Italy ,,German,, Austria,, nk..maana Greece ilizidiwa na migrants ambao walikuwa wnaingia maelfu kutoka Turkey,,, kwa njia za baharini na inchi kavu,, ,I was among migrants,, who crossed from Turkey to Greece in 2011….nilikuwa na karatasi za awali za kisomali pia maana kipindi hicho ilikuwa ndy rahisi kupata karatasi kama Somali au Burundi ..,,,lakini nilishindwa kusubiri nikarudi bongo...hivyo mkuu kama huna bahati za karatasi basi mambo mengi yatakuwia vigumu..Kupata makaratasi ni Bahati mkuu mm Mjomba yupo Greece amepata kama msomali
Ukiwakuta Europe au USA anadharua sana wanajiona wao sio waafrica
Mkuu ni nchi gani wanatoa hela bure hivi kwa mwezi? Tena Euro 800?
Si kila inchi ulaya inalipa pesa,,,ndy maana watu wanatafuta inchi nzr ya kujipiga,,,ili upate benefit baadae,,,mfano,.France,, Belgium,, Italy,,Finland,,Denmark,, Austria,,Sweden,,Greece,,swiss,, nk..kila ichi ina benefit zake kwa raia zake,,huwa hazifanani...lakini hizo inchi zinatoa pesa kwa raia,,na hata migrantsMkuu
Are u serious ?
Nachojua ulaya mashariki ni tofauti sana na Ulaya magharibi
Mkuu ungekomaa Saizi ungekuwa moja ya nchi za ulaya.Ni kweli mkuu,,,,hata mm nilikimbia sababu hyo,,,,system yao ya interview haipo sawa pale,,,lakini mwaka 2014 UN ilitoa amri border zote ziwe free,,na migrants wote wa Greece waachwe waende wanapopataka,,,ndni ya mwezi mmoja,,then ziwe tight tena,,,basi hapo ndy migrants wengi walikimbilia ulaya zingine mfano Italy ,,German,, Austria,, nk..maana Greece ilizidiwa na migrants ambao walikuwa wnaingia maelfu kutoka Turkey,,, kwa njia za baharini na inchi kavu,, ,I was among migrants,, who crossed from Turkey to Greece in 2011….nilikuwa na karatasi za awali za kisomali pia maana kipindi hicho ilikuwa ndy rahisi kupata karatasi kama Somali au Burundi ..,,,lakini nilishindwa kusubiri nikarudi bongo...hivyo mkuu kama huna bahati za karatasi basi mambo mengi yatakuwia vigumu..
Acha namimi nishare ideal yangu hapa,
Hii kwavijna mwenye ndoto ya kwenda huko wanakokuita Europe.
Moja, futa wazo la kutaka kujilipua! Kwasababu utakapo fanya hivyo utajiharibia status yako ya Utanzania. Kwa saivi Ulaya warabu kutoka Syria na nchi nyingine za Africa kwa kuzamia saiv siyo rahisi na pia kupata karatasi imekuwa ngumu sana,
Kuna njia moja ambayo ukiitumia ndoo itakuwa rahisi sana kuingia ulaya.
Njia yenyewe ni:
Kuoa au kuolewa,
Tafuta mwanamke au mwanaume mwenye uraia wa ulaya hapo utakuwa umefanikiwa kiasi,
Zanzibar ni sehemu ya kutimiza ndoto yako nina uhakika 100% kama una swali lolote niulize.
Samahani kwa mwandiko wangu mbaya!