Chukua hii comment yakitokea maandamano yanaweza kuja kua makubwa zaidi ya October 29 rudia kusoma hii comment punguza kujilisha upepo kwamba haiwezekani kwa sasa inawezekana sanaMtaikomboa kwenye mtandao tu ila ule ujinga wa 29/10 haurudii tena.
TUTAWAPA ULINZI WA KUSHATOPanapo majaaliwa ya Mnyaz Mungu nitawapa support
Jaribu kuingia barabarani hyo 7/7 day uone cha mtema Kuni, c umechoka kuvuta bangi eti?Kamvunje uchi mama yako ,choko to a na location yako we shoga tuje tukunyooshe siku Hi yo ,Malaya mmoja we
Hakuna cha 77 wala nini mnatiana ujinga tuuWazalendo wenzangu 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni natoa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.
Unapokutana na wanaume usitangulize hisia, hisia peleka kwa wamama wenzio huko. Huku tunanyukana kwa hoja.Peleka upuuzi wako huko kenge wewe
Lord Denning sijui yupo wapi siku hiziBabu zetu wangekuwa kama baadhi yetu humu hadi leo tungekuwa tunatawaliwa na wakoloni.
Wewe una amini hiloo??Safari hii watatoa ulinzi kulinda maandamano kama sheria inavyowataka, dunia imeshawaelemea kwa upuuzi waliofanya 29.10.2025
Inasikitisha sana kwa kweli.wewe waache tu, madogo wamekufa na kina Mange na wenzake wameishia kulilia instagram mbele ya camera.
Hao waandamanaji watakua na nini cha kujitetea incase kikinuka?/kwani hawatakuwa na silaha nyingine tofauti na bunduki ?
Ndiyo.Wewe una amini hiloo??
Kwanini kinukeHao waandamanaji watakua na nini cha kujitetea incase kikinuka?/
Kama nchi yenye kila kitu haiendi vitani kizembe , halafu wewe hauna cha kujilinda unatoka kukinukisha ukiwa hauna mipango na haujaipanga na unaowatetea wako sebuleni wanaangalia sinema zetu .Hao waandamanaji watakua na nini cha kujitetea incase kikinuka?/
Kazi yake imekamilikaLord Denning sijui yupo wapi siku hizi
uzuri ni kwamba nitakuwa nisharudi hivyo kuzimwa kwa mitandao hakutoniathiri sanaaa kiukweli...kwahiyo endeleeni kubishana na jamhuriWazalendo wenzangu 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni natoa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.
Kumbukeni tu kuandamana kwa amani, maana mkija kuharibu vibanda vyetu vya biashara au nyumba zetu za kuishi hatutasubiri vyombo vya dola. Tutaanza sisi wananchi kuwashughulikia!Wazalendo wenzangu 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni natoa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.
Hicho ni sawa na debe tupu,ukitaka kuamini angalia line yake ya mwisho.Nani asiyelipa kodi mkuu? Kuna aina ngapi za kodi kama unaelewa?
Kabisa. Tunajua tunakokwenda ni wapi.Yaani mtu akutese duniani halafu wewe unasubiri malipo jehanamu, hizo ni akili kweli?