Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
me? kivipi ?eti wewe ni mpiganaji???
me? kivipi ?eti wewe ni mpiganaji???
Kwa Dunia ya sasa UVUMILIVU ni msamiati.Inahitaji neema kwa kweli.Mimi nimevumilia na bado naendelea kuvumilia japo si njia rahisi..Ni Mungu kaniwezesha.
Lakn ikumbukwe kwamba kila jambo lina faida na hasara,so ni jukumu la kila mtu kufanya COST BENEFIT ANALYISIS ya hilo jambo then unaamua kusuka ama kunyoa.
Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia.
Amen mpendwa katika Bwana
sasa naona una matatizo elewa komment aliyotoa mwenzio usipotoshe wewe
Ha ha ha!!!! Isijekuwa umekuwa mcongo siku hizi... nzambe na ngai....maana wale kwa saluni hawajambo....ila ntakujulisha ..mimi na wewe tena!!!
nawe elewa upo jukwaa gani...
taa anakola Zion Daughter, kopesa moto nyoso elikia naye...hahahah
yaani hapo wangu nimekufagilia sanaaaa...nimekumis sana ujue!!!
Duu.itabidi nitafute kamusi ya kicongo..
Me too nimekukosa na bahati nzuri leo sitahudhuria kikao hivo ntaendelea kukumisi..
hahahaha. Mueleweshe
nawe elewa upo jukwaa gani...
na hii je waonaje
kuna mbunifu anaweza kukata hivyo na hapa je
nadhani hapa ataweza lakini hapa sijui kama ataweza au wewe ndo mbunifu wa style mbalimbali za nywele ona hii
acha nikupe na hii najua kidogo utadumu
pokea zawadi ayako hii
hiyo ni sabuni arier ili uweze kuwatoa mba wateja wako watakapokuja hapo salon mmojawapo mie
Pindi utakapoamua kusuka ama kunyoa naomba unitafute...ninamiliki saluni y wamama na wababa.
Halafu ukitaka kusuka nitakusuka kama ule mtindo uliosuka siku ya White Party!!!