Wavutaji wote hapa

Ipo Song nyingine imetulia sana Ya Marehemu Joseph Hill 'CULTURE' Inaitwa Callie Weed Song... Nimeshindwa kuipandisha natumia Freebasics...
 
Bwana kuna siku nilismoke nkaanza kujiuliza hivi sisi ambavyo hatuelewi wanyama wanapoongea je na wao wanatuelewa?
Jibu ikawa ni hapana, sasa swali likaja je wanatusikiaje??

Kwa nje kulikuwa kuna watu wanaongea nikaanza kutosikiliza maneno yao bali sauti tu zinazotoka midomoni mwao.
Dah nikawa nawaskia kama ng'ombe wanavyounguruma tu.

Yani kumbe kweli lugha ni masauti tu ya mdomoni tuliyoamua kuyapa maana.

Hiki kitu kwa akili ya kawaida huwezi kufanya, kwasababu hata ukisikia wachina wanaongea bado hauwashaangai, lakini kupitia weed sku iyo nlkuwa nashangaa jinsi sauti tu kwenye makoromeo zinafanya binadamu wawili waelewane.
 
Koh koh koh yaoo yaooo
 
Back
Top Bottom