Wavutaji wote hapa

mr qns

Senior Member
Jan 3, 2018
193
197
WAGWAN RASTA,maninja wote ambao tunatumia ile kitu asili mmea,tukutane hapa.tupeane michapo ya weed,habari za weed,utani wa weed na vitu ka hizo u know.hakuna kitu kama weed na hapa tunailegalise....ngonga ,washa vuta.roll in peace rasta.....
 
Wakati nipo form 3 ndio nimeanza hizi mambo nikipiga vitu napata mzuka wa kusomaa mbaayaa....kitu cha ten ten ni mwendo wa kupasiana vijiti tu
 
Sasa mleta Uzi ungeanza na kutoa stori/kisa chako juu ya 'herbs' au 'dawa' ama 'cha Arusha'...ganja..kijiti..au Bob Marley

tiririka wana wapandishe mzuka wa story...nje ya hapa unakata 'stimu' machalii

halafu bei ya 'Bangili' inapanda daily kwa pusha...siku hizi inalipiwa kodi.!?
 
Back
Top Bottom