Wauzaji wa simu muwe na huruma

Wauzaji wa simu muwe na huruma

Huyo dogo nimekwambia ni tapeli kila mwisho wa mwezi lazima aende Tanga kuogeshwa dawa, yaan jamaa anaroga ili atapeli watu atajirike ukimuona sasa unaweza usiamini Ila ndio ana makando makando hatari bonge moja la houstadhi Ila daaah Tapeli hafai
Matapeli wengi wamejificha kwenye dini wanajua huko ndio watu wanaamini
 
Daah kariakoo usiamini mavazi na uongeaji wao wamejiwekea kasumba kuwa mtu lazima uwende tu utake usitake lazima kariakoo ndo ukanunue mizgo na ndo maana wengi wakienda kule kuhama ni ngumu sababu ya hela za janja janja unakuta mtu ana kaflemu kadogo simu amezipanga 10 tu unajiuliza hivi huyu simu hizi 10 ndo zinamfanya alipe kodi ya hapa??!?!
 
😅😅😅
 
Watamnasa tu ipo siku yake huyo
Dogo ana kesi nyingi mno kila siku anahama maduka pale k/koo sababu ya kesi za utapeli yaan akishatapeli anahama pale hata km ukirudi usimkute sasa utampatia wapi?

Ni tapeli anakaa golini ukija anakupiga kisha anapotea anahamia kwingine akishatapeli anahamia kwingine hivyo hivyo yeye ni mwendo wa kutapeli tu

Polisi ameshapelekwa saaana Ila utapeli aaachi
 
Sio kweli kuna za Bei za kawaida Ila napo bahati yako ikiwa mbaya unakutana na la kubumba kuna Samsung moja nilinunuaga Mlimani City ilinisumbua sana ilikua inashika sana moto, sikurudia tena kununua simu kule

[emoji16][emoji23] sasa unaona yale yale kote maumivu jamaa yangu ana mdogo ake alimuahidi akifaulu O level atamnunulia simu nzuri sasa mwezi wa kwanza mwishoni wakachukuana hadi mlimani pale kuna duka wakaingia kuchukua iphone x plain..

Kwa 600k nao walidanganywa newly sealed yani mdogo ake amekaa nayo siku 3 tu analalakika simu inapata moto vibaya halafu haikai chaji kabisa nikamwambia mzee mlipigwa hiyo si mpya ni refurbished hapa hapa Dsm
 
Dogo ana kesi nyingi mno kila siku anahama maduka pale k/koo sababu ya kesi za utapeli yaan akishatapeli anahama pale hata km ukirudi usimkute sasa utampatia wapi?

Ni tapeli anakaa golini ukija anakupiga kisha anapotea anahamia kwingine akishatapeli anahamia kwingine hivyo hivyo yeye ni mwendo wa kutapeli tu

Polisi ameshapelekwa saaana Ila utapeli aaachi
Hiki Ni kikundi Cha wezi na wanashirikian na weny maduka mzee,
Mi mwaka 2011 nilimkunja Teja pale mtaa wa aggrey jamaa alifanikiwa kunipig chenji kota ile ya simu kwa kipande Cha sabuni ucku, kesho yake nikamtafut nikampata palepale nikaon kwend polisi mbali nikamuanzishia palepale jamaa waliompa ile cmu ya kuzugia wakaingilia ugomvi....
 
Daah kariakoo usiamini mavazi na uongeaji wao wamejiwekea kasumba kuwa mtu lazima uwende tu utake usitake lazima kariakoo ndo ukanunue mizgo na ndo maana wengi wakienda kule kuhama ni ngumu sababu ya hela za janja janja unakuta mtu ana kaflemu kadogo simu amezipanga 10 tu unajiuliza hivi huyu simu hizi 10 ndo zinamfanya alipe kodi ya hapa??!?!
Tapeli yupo kazini na matapeli Wana umoja sana pale k/koo wanajuana vibaya sana, na wanalindana sana akishatapeli anatafuta hifadhi sehemu nyingine yaan Wana magoli ya kutosha wanayofanyia utapeli ukisikia tu ngoja nikakuchekie duka letu lingine hapo mbele maaan fumbua macho hapo amemaanisha ngoja nikuingize kwenye dunia ya matapeli ukiweza potea kabisa Wala usimsubiri pia kuna mafundi wa simu na laptop wale ndio balaa la dunia ni wezi wa vipuli ogopa ukimpa kifaa chako anang'oa vya ndani anaweka anavyovijua yeye
 
[emoji16][emoji23] sasa unaona yale yale kote maumivu jamaa yangu ana mdogo ake alimuahidi akifaulu O level atamnunulia simu nzuri sasa mwezi wa kwanza mwishoni wakachukuana hadi mlimani pale kuna duka wakaingia kuchukua iphone x plain..

Kwa 600k nao walidanganywa newly sealed yani mdogo ake amekaa nayo siku 3 tu analalakika simu inapata moto vibaya halafu haikai chaji kabisa nikamwambia mzee mlipigwa hiyo si mpya ni refurbished hapa hapa Dsm
Ndio hivyo hata pale Mlimani City ukiingia kichwa kichwa unapigwa vile vile 😂 ile Samsung ilinitesa sana yaan
 
Hiki Ni kikundi Cha wezi na wanashirikian na weny maduka mzee,
Mi mwaka 2011 nilimkunja Teja pale mtaa wa aggrey jamaa alifanikiwa kunipig chenji kota ile ya simu kwa kipande Cha sabuni ucku, kesho yake nikamtafut nikampata palepale nikaon kwend polisi mbali nikamuanzishia palepale jamaa waliompa ile cmu ya kuzugia wakaingilia ugomvi....

Daaah umenikumbusha 2015 nilipigwa na mimi mche wa sabuni kwa 40k kipindi kile huawei Y360 ndo zinatamba daah jamaa nyuma bana..

Wanakua na bahasha mbili ukiinama kuhesabu hela tu kesha chomoa mche wa sabuni wanautengenezea housing alafu ndani wanajaza sabuni then..
Wanakwambia usifungulie hapa siunaona wale jamaa pale wanoko watatuchoma kwa maaskari siunajua..

Hii ni biashara haina risiti wala si halali
Basi mkuu ndo nilipigwa kwa staili hiyo.halafu ni pale fire karibu na jengo la toyota.
 
Back
Top Bottom