Wauzaji wa simu muwe na huruma

Wauzaji wa simu muwe na huruma

Tatizo lako mleta mada uliruka stage kwenyebkujifunza namna ya kuishi.

Kwenye maisha unatakiwa ujuane na watu ili upate mambo mazuri.

Unajijua utakuja kijenga nyumba kuwa karibu na mafundi wanaosifika kwa ubora baadae hutapata tabu.

Unajijua utakuja nunua gari jenga mahusiano na watu wenye uzoefu na magari.

Usikubali kufanya kitu kama kipofu hapo hapo kkoo watu wananunua simu kali safi na og kwa mtonyo mzuri tu ww unakwama wapi.

Sikushauri kuwa mjuaji ila jitahidi uongee na watu vizuri.

Mfano mimi nikitaka simu hata leo navuta uzi mmoja tu simu inaletwa mpka kigamboni lakini hii inatokana na kujenga mahusiano mazuri na wauza simu wanaoaminikana kujali kazi zao.

Alafu jambo jingine ukienda kununua kitu chochote kipya au unachokipenda punguza matamanio jiamini chukua muda wako kukichunguza.

Imagine mtu ananunua simu hajaribu hata kupiga ajue iko nzima haweki hata chaji aone inafanyakazi yeye akikabidhiwa ni mwendo hii si sahihi maana maduka mengine garantii ni mgongo wako ukigeuka tu na garantii imekwisha.
Huwezi kujuana na kila mtu na kila kitu kina stage yake ya manunuzi inapofika muda muafaka. Na mistake kama hizi zipo tu hata ufanyaje lazima ufanye haijalishi kwenye biashara ipi au njia ipi nina uhakika wewe pia unaweza kuwa ushawahi kulizwa. Kama sio wewe basi ndugu yako
 
Mabox yanauzwa kuna siku nimemfuma mtu anabandika sealed kwenye box na kimashine fulani wanachofanya wananunua charger 7,000 na earphones 5,000 wanakuwekea humo eti ni full box na watu wanatoa mamilioni ya pesa cheki hizi picha box zinauzwa peke ake na simu peke yake.

IMG_0204.jpg

IMG_0203.jpg
 
Ni kweli mkuu. Manunuzi ya online ni kuwa makini, kuzingatia bei pamoja na rate za muuzaji. Kama alivyosema Chief-Mkwawa ali express ni vyema kuitumia kwa vitu vya kichina, hizi simu brand ukizikuta aliexpress bei yake tu inakushtua maana ni kubwa kuliko hata zilizopo Bongo Tanzania.

Ebay kumenyooka maana wazungu wakweli sana, wanasema condition ya simu na kutuma picha jinsi ilivyo, tofauti na wachina wanaweka picha zile za graphics za kwenye mabango.

Haswaaa! Napenda kuangalia feedbacks za wateja wanapotumiwa vitu mfano alie,alibaba kiukweli wengi hulalamika bidhaa ni feki totally ebay,amazon sijawahi kuona
 
Habari za muda wakuu poleni pia hongereni kwa harakati za kulijenga taifa.Okay bila kupoteza muda niende.
Kwenye mada husika je niwangapi....

Wamewahi pigwa vifaa vya tech ikiwemo simu,Laptops na vinginevyo hapa bongo?? Najua ni wengi sana imeshawakuta hii nita-share kidogo..
Kilichonikuta huko nyuma maana naona baadhi ya watu bado hawana..

Elimu juu ya hivi vitu na na jinsi ya kupata kitu bora hapa Bongo..
2019 nilipata vijipesa nikasema niende sasa nikanunue simu unajua..
Kuna raha yake kufunguwa mzigo ukiwa sealed na magandayae eeeh!?!

Nikaingia k/koo duka flani la wapemba
Simu nilio panga kuchukua ni s8+ lakini bahati mbaya sikufanikiwa muuzaji akanishauri nichukue s7edge nikalidhia lakini rangi nilioitaka haikuwepo jamaa akaniamba ngoja nikakuchukulie kwenye duka letu lingine aisee! kumbe hapo ndo nilifanya mistake.....

Alivorudi nikaikagua ile simu ipo fresh
Akaniandikia risiti nikarudi zangu home sasa nafika niichaji ili niitumie..
Huwezi amini simu inapata moto vibaya alafu kwenye notification chini
Inaonyesha mwanga hadi ndani..

Yani inamaana simu ilishakarabatiwa..
Nilivokuja kuiwasha dakika 20 simu imezima uichaji tena daah! Nilijilaumu
Sana bora hata ningerudi na pesa yangu tu..

Najua humu humu kuna wauza simu
Wengi sana watanishambulia kuhusiana na hili ila kiukweli watu wanatafuta pesa kwa tabu mno angalau wapate kitu bora lakini mmekuwa watu wasio na huruma..

Mnadanganya watu simu ni used from
Dubai,uk,usa, sikui wapi wapi ila wengi ni waongo simu refurbished hapa hapa bongo nina kesi nyingi sana za watu kupigwa mtu baadhi yenu si waaminifu kwa wateja hivi...

Mfano iphone 6plain ni ya 2014 huko..
Lakini mtu anakuja kukwambia ni full box,sealed na iko Non active.Kweli inawezekana vipi muwe wakweli...
Halafu kinachoumiza ni mnauza midosho then kwa bei ya mbaya nimeacha kabisa kununua simu k/koo

Sijui makumbusho maeneo ni balaaa.
Sisemi hakuna maduka yanayo uza vitu genuine kabisa hapana wapo ila..
Ni wachache walio waaminifu ushauri wangu ni kama umepata pesa usikimbilie kwenda kununua vitu hivi
Tuliza kichwa fanya research duka gani lina utapata bidhaa original Lakini sio kariakoo.

Usisite kuweka maoni au ku-share jambo lililowahi kukuta kama hili..
Ili na wengine iwasaidie unaweza kuokoa hela ya mtu siku ya leo.
Kama una nunua used nunua kwa rafiki yako simu aliyokuwa akitumia na wewe unaijua akaamua kuuuza.

Never buy from these Thieves wanaojiita

USED FROM
1. UK
2. DUBAI
3. KOREA
4.USA

hawa wote ni wezi na ni simu mbovu.

Hata kama ni mpya lakini ukaona bei iko chini usichukue ni majizi haya.

Wanaenda kwa vishoka huko China wanaotengeneza Fake versions za Samsung S8, S8+, S9 na S10, baada ya toleo la mwanzo ambalo huwa ni OG 1-2yra later hawa wahuni wanaenda kuzoa huko kwa wachina simu zinazofanana na hizo.

S10iliyokuwa inauzwa 2M wao wanauza 5k.

Do not waste your money labda kama ni za kuhongwa
 
Kariakoo kanunue Nguo na TV tu. Vingine acha usiguse Laptop kabisa huko utalia
Hata TV kua makini saana uhuni ni mwingi k/koo alafu uchawi mwingi sana, wale jamaa ni wanaroga mbaya utashangaa tu unanunua kitu kibovu unakuja kushtukia chezo ushafika home ndio akili inakurudi kumbe uliingia kwenye duka la mganga wa jadi
 
Kama una nunua used nunua kwa rafiki yako simu aliyokuwa akitumia na wewe unaijua akaamua kuuuza.

Never buy from these Thieves wanaojiita

USED FROM
1. UK
2. DUBAI
3. KOREA
4.USA

hawa wote ni wezi na ni simu mbovu.

Hata kama ni mpya lakini ukaona bei iko chini usichukue ni majizi haya.

Wanaenda kwa vishoka huko China wanaotengeneza Fake versions za Samsung S8, S8+, S9 na S10, baada ya toleo la mwanzo ambalo huwa ni OG 1-2yra later hawa wahuni wanaenda kuzoa huko kwa wachina simu zinazofanana na hizo.

S10iliyokuwa inauzwa 2M wao wanauza 5k.

Do not waste your money labda kama ni za kuhongwa

Hapo umeongea kweri kabisa imagine iphone 7plus kwa sasa ipo out of date
Sasa yani apple hawaizalishi na haipo kwenye stock sasa unakutana na jitu
Linakwambia hii ni non active brand..

New kabisa sealed from usa aisee
Alafu hakuna nchi simu zao ni ghali..
Kama usa ukiona mtu anamiliki simu
Us version hiyo simu sio mchezo..
Na simu nyingi hapa bongo hasa iphone nimechunguza model nyingi
Za iphone ni za canada,china sijawahi kukutana na hizo wanazosema ni used usa.
 
Habari za muda wakuu poleni pia hongereni kwa harakati za kulijenga taifa.Okay bila kupoteza muda niende.
Kwenye mada husika je niwangapi....

Wamewahi pigwa vifaa vya tech ikiwemo simu,Laptops na vinginevyo hapa bongo?? Najua ni wengi sana imeshawakuta hii nita-share kidogo..
Kilichonikuta huko nyuma maana naona baadhi ya watu bado hawana..

Elimu juu ya hivi vitu na na jinsi ya kupata kitu bora hapa Bongo..
2019 nilipata vijipesa nikasema niende sasa nikanunue simu unajua..
Kuna raha yake kufunguwa mzigo ukiwa sealed na magandayae eeeh!?!

Nikaingia k/koo duka flani la wapemba
Simu nilio panga kuchukua ni s8+ lakini bahati mbaya sikufanikiwa muuzaji akanishauri nichukue s7edge nikalidhia lakini rangi nilioitaka haikuwepo jamaa akaniamba ngoja nikakuchukulie kwenye duka letu lingine aisee! kumbe hapo ndo nilifanya mistake.....

Alivorudi nikaikagua ile simu ipo fresh
Akaniandikia risiti nikarudi zangu home sasa nafika niichaji ili niitumie..
Huwezi amini simu inapata moto vibaya alafu kwenye notification chini
Inaonyesha mwanga hadi ndani..

Yani inamaana simu ilishakarabatiwa..
Nilivokuja kuiwasha dakika 20 simu imezima uichaji tena daah! Nilijilaumu
Sana bora hata ningerudi na pesa yangu tu..

Najua humu humu kuna wauza simu
Wengi sana watanishambulia kuhusiana na hili ila kiukweli watu wanatafuta pesa kwa tabu mno angalau wapate kitu bora lakini mmekuwa watu wasio na huruma..

Mnadanganya watu simu ni used from
Dubai,uk,usa, sikui wapi wapi ila wengi ni waongo simu refurbished hapa hapa bongo nina kesi nyingi sana za watu kupigwa mtu baadhi yenu si waaminifu kwa wateja hivi...

Mfano iphone 6plain ni ya 2014 huko..
Lakini mtu anakuja kukwambia ni full box,sealed na iko Non active.Kweli inawezekana vipi muwe wakweli...
Halafu kinachoumiza ni mnauza midosho then kwa bei ya mbaya nimeacha kabisa kununua simu k/koo

Sijui makumbusho maeneo ni balaaa.
Sisemi hakuna maduka yanayo uza vitu genuine kabisa hapana wapo ila..
Ni wachache walio waaminifu ushauri wangu ni kama umepata pesa usikimbilie kwenda kununua vitu hivi
Tuliza kichwa fanya research duka gani lina utapata bidhaa original Lakini sio kariakoo.

Usisite kuweka maoni au ku-share jambo lililowahi kukuta kama hili..
Ili na wengine iwasaidie unaweza kuokoa hela ya mtu siku ya leo.
Nunua cmu maduka ya mlimani au posta
 
Back
Top Bottom