Wauzaji wa simu muwe na huruma

Wauzaji wa simu muwe na huruma

Tapeli yupo kazini na matapeli Wana umoja sana pale k/koo wanajuana vibaya sana, na wanalindana sana akishatapeli anatafuta hifadhi sehemu nyingine yaan Wana magoli ya kutosha wanayofanyia utapeli ukisikia tu ngoja nikakuchekie duka letu lingine hapo mbele maaan fumbua macho hapo amemaanisha ngoja nikuingize kwenye dunia ya matapeli ukiweza potea kabisa Wala usimsubiri pia kuna mafundi wa simu na laptop wale ndio balaa la dunia ni wezi wa vipuli ogopa ukimpa kifaa chako anang'oa vya ndani anaweka anavyovijua yeye

Daah na ukienda polisi wanatoka fasta
Mimi nilivopigwa ile simu kesho yake nikarudi lakini nilipita kwa mishe zingine huwezi amini sikumkuta hata mmoja kwenye lile duka kati ya wale niliowakuta jana hata yule alieniuzia kama unavosema wale jamaa wakishajua wamekuingiza mjini wana

Maduka tofauti kesho ukienda humkuti hili jambo tusilifumbie macho
Watu wanalizwa kila siku ya Mungu..

Kuna poti mmoja wabhuku mtaani alienda duka moja fulani pale uhuru
Kununua simu alivaa kiraia tu siku hiyo wakambambikizia simu mbovu kama kawaida yao wakajua ni raia mwenzao yule afande kufika nyumbani aanze kuikagua sasa simu

Ina overheat kinoma na haikai chaji
Alivorudi kesho yake anawaambia wanaleta dharau anawauliza aliemuuzia yuko wapi wanasema hajanunua hapo iyo simu akaondoka

Alivorudi alikuja na defender imejaa wajomba walibebwa wote pale dukani
Na duka likafungwa.
 
Ndio hivyo hata pale Mlimani City ukiingia kichwa kichwa unapigwa vile vile [emoji23] ile Samsung ilinitesa sana yaan

[emoji16][emoji23] sana tu kiufupi kama unataka simu agizia kwa ma whole salers ambao wapo nje na wameshajitengenezea majina na uaminifu kwa wateja zao worldwide

Wao wanakuwa na simu bado ambazo zipo stock hata kama ni za muda hazizalishwi na kampuni husika.
 
Daah na ukienda polisi wanatoka fasta
Mimi nilivopigwa ile simu kesho yake nikarudi lakini nilipita kwa mishe zingine huwezi amini sikumkuta hata mmoja kwenye lile duka kati ya wale niliowakuta jana hata yule alieniuzia kama unavosema wale jamaa wakishajua wamekuingiza mjini wana

Maduka tofauti kesho ukienda humkuti hili jambo tusilifumbie macho
Watu wanalizwa kila siku ya Mungu..

Kuna poti mmoja wabhuku mtaani alienda duka moja fulani pale uhuru
Kununua simu alivaa kiraia tu siku hiyo wakambambikizia simu mbovu kama kawaida yao wakajua ni raia mwenzao yule afande kufika nyumbani aanze kuikagua sasa simu

Ina overheat kinoma na haikai chaji
Alivorudi kesho yake anawaambia wanaleta dharau anawauliza aliemuuzia yuko wapi wanasema hajanunua hapo iyo simu akaondoka

Alivorudi alikuja na defender imejaa wajomba walibebwa wote pale dukani
Na duka likafungwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaah umenikumbusha 2015 nilipigwa na mimi mche wa sabuni kwa 40k kipindi kile huawei Y360 ndo zinatamba daah jamaa nyuma bana..

Wanakua na bahasha mbili ukiinama kuhesabu hela tu kesha chomoa mche wa sabuni wanautengenezea housing alafu ndani wanajaza sabuni then..
Wanakwambia usifungulie hapa siunaona wale jamaa pale wanoko watatuchoma kwa maaskari siunajua..

Hii ni biashara haina risiti wala si halali
Basi mkuu ndo nilipigwa kwa staili hiyo.halafu ni pale fire karibu na jengo la toyota.
Nomaa mkuu, ila nahisi na ushirikina unatumika pale maan unajikuta huna wazo la kufunua bahasha ile Tena, yaan unajion umeokota embe chini ya mnazi daah..
 
Hakuna kitu sikipendi kama kutapeliwa halafu mtu anakuona mshamba anakuchukulia poa wengine tunajijua kurusha ngumi na kutapanya simu zote dukani ni dakika zero tu tuanze tena kusumbuana kwenye makesi kupelekana segerea wakati tunamsururu wa watu wanatutegemea
Kuepusha hayo yote sinunui vitu katika duka la mtu mweusi nanunua kwa authorised dealer tu kidogo kwa mhindi au muarabu.
 
Mabox yanauzwa kuna siku nimemfuma mtu anabandika sealed kwenye box na kimashine fulani wanachofanya wananunua charg 7k

earphones5k wanakuwekea humo eti ni full box na watu wanatoa mamilion ya pesa cheki hizi picha box zinauzwa peke ake na simu peke yake.

View attachment 2512082
View attachment 2512083
Hii ni kweli kabisa, ndo mana wauza smu wengi wana hela sana. Mfano anaagiza lets say iphone X refurbished, ikifika bongo anaitia kwny box, anaweka chaja na earphone, anatia seal,,,,, afu ukifika pale anakuuzia bei ya mpya. Na ww kwa sababu unaiona iko kwny box unaamini ni mpya ahahah
 
Hii ni kweli kabisa, ndo mana wauza smu wengi wana hela sana. Mfano anaagiza lets say iphone X used, ikifika bongo anaitia kwny box, anaweka chaja na earphone, anatia seal,,,,, afu ukifika pale anakuuzia bei ya mpya. Na ww kwa sababu unaiona iko kwny box unaamini ni mpya ahahah

Imagine kumbe kuna namna ya kuboost battery hearth namba zipande mpaka utakapo,ndio zile unanunua simu unakuta BH 100% ukitumia mwezi imefika 91%[emoji15][emoji15]
 
Hakuna kitu sikipendi kama kutapeliwa halafu mtu anakuona mshamba anakuchukulia poa wengine tunajijua kurusha ngumi na kutapanya simu zote dukani ni dakika zero tu tuanze tena kusumbuana kwenye makesi kupelekana segerea wakati tunamsururu wa watu wanatutegemea
Kuepusha hayo yote sinunui vitu katika duka la mtu mweusi nanunua kwa authorised dealer tu kidogo kwa mhindi au muarabu.
Ukifika pale kariakoo unatumia njia gani kujua kwamba huyu ni authorised dealer?
 
Hakuna kitu sikipendi kama kutapeliwa halafu mtu anakuona mshamba anakuchukulia poa wengine tunajijua kurusha ngumi na kutapanya simu zote dukani ni dakika zero tu tuanze tena kusumbuana kwenye makesi kupelekana segerea wakati tunamsururu wa watu wanatutegemea
Kuepusha hayo yote sinunui vitu katika duka la mtu mweusi nanunua kwa authorised dealer tu kidogo kwa mhindi au muarabu.

Waarabu hawana longo longo mwezi wa kwanza nilienda kununua jbl speaker mtaa wa samora pale nilimkuta muhindi kabla sijalipia nikamuuliza je hii bidhaa ni original maana pesa ni kubwa hii siunajua pesa ilivyo ngumu saiv akanipa option

Niende home nika ikague vizuri aliniambia pia ni water resistance nikaenda kutest kila kitu alichonihakikishia kipo real hadi saivi ni mteja wake mzuri.Uakinifu ndio kila kitu
 
Hii ni kweli kabisa, ndo mana wauza smu wengi wana hela sana. Mfano anaagiza lets say iphone X refurbished, ikifika bongo anaitia kwny box, anaweka chaja na earphone, anatia seal,,,,, afu ukifika pale anakuuzia bei ya mpya. Na ww kwa sababu unaiona iko kwny box unaamini ni mpya ahahah

[emoji23][emoji23] hawa jamaa yani bora ujipange hata mwaka mzima ukubali usimiliki simu ujichange upate ka milion mbili kako ukaagizia kitu genuine nje yani.
 
Back
Top Bottom