Ukifika pale kariakoo unatumia njia gani kujua kwamba huyu ni authorised dealer?
authorized dealer Lg wapo mikocheni mwai kibaki road wanaitwa lg brandshop wapo pia mlimani..Samsung yupo kariakoo wanaitwa sai distributors ltd wapo Uhuru round about, Samsung mlimani city..Ukifika pale kariakoo unatumia njia gani kujua kwamba huyu ni authorised dealer?
authorized dealer Lg wapo mikocheni mwai kibaki road wanaitwa lg brandshop wapo pia mlimani..Samsung yupo kariakoo wanaitwa sai distributors ltd wapo Uhuru round about, Samsung mlimani city..
Sony anaitwa pro electronic ltd wapo k/koo mkunguni st ila hawa pro sio wakuwaamini mguu ndani mguu nje.
NB:japo kuwa hao wanajiita authorized dealer ila kama sio mtaalamu unapigwa nje nje kama unataka kitu original agiza nje
Kushuhudia hili tukio kulifanya nielewe wazi kwamba hakunaga madawa wala nini.Daaah umenikumbusha 2015 nilipigwa na mimi mche wa sabuni kwa 40k kipindi kile huawei Y360 ndo zinatamba daah jamaa nyuma bana..
Wanakua na bahasha mbili ukiinama kuhesabu hela tu kesha chomoa mche wa sabuni wanautengenezea housing alafu ndani wanajaza sabuni then..
Wanakwambia usifungulie hapa siunaona wale jamaa pale wanoko watatuchoma kwa maaskari siunajua..
Hii ni biashara haina risiti wala si halali
Basi mkuu ndo nilipigwa kwa staili hiyo.halafu ni pale fire karibu na jengo la toyota.
Kushuhudia hili tukio kulifanya nielewe wazi kwamba hakunaga madawa wala nini.
Hawa wajinga wanacheza na saikolojia tu. Maaskari walee, sijui unajua lazima tuwe makini tusikamatwe etc ili tu uwe hyperhyper wakupige usifikirie
[emoji3][emoji3]Kariakoo hamna authorised mkuu nenda posta au mlimani hata hao tecno hawapo k/koo.Tufike mahali tusidanganywe na sealed nilimfuma dada mmoja anabandika sealed kwenye mabox yasimu fulani ilikuwa chobingo moja hivi.
Nimekuelewa. Tatzo la kuagiza nje ni shipping cost. Masoko kama amazon unakuta they dont ship items to tanzania.authorized dealer Lg wapo mikocheni mwai kibaki road wanaitwa lg brandshop wapo pia mlimani..Samsung yupo kariakoo wanaitwa sai distributors ltd wapo Uhuru round about, Samsung mlimani city..
Sony anaitwa pro electronic ltd wapo k/koo mkunguni st ila hawa pro sio wakuwaamini mguu ndani mguu nje.
NB:japo kuwa hao wanajiita authorized dealer ila kama sio mtaalamu unapigwa nje nje kama unataka kitu original agiza nje
Unachagua mmoja kvp kwan kila sku ww unakuwa unanunua simu tu? Au tv tu au magari tu?Ukitaka usifanyiwe uhuni chagua 1 mmoja wa kukuuzia hizo bidhaa ila wakijua Ww wa hit n run mzee kazi unayo
Basi tu haupo makini, mimi eneo hili uniibii, na hata ukiniibia nitarudi na utaona rangi zote.Habari za muda wakuu poleni pia hongereni kwa harakati za kulijenga taifa. Okay bila kupoteza muda niende.
Kwenye mada husika
Je ni wangapi, wamewahi pigwa vifaa vya tech ikiwemo simu, Laptops na vinginevyo hapa bongo? Najua ni wengi sana imeshawakuta hii nita-share kidogo. Kilichonikuta huko nyuma maana naona baadhi ya watu bado hawana.
Elimu juu ya hivi vitu na na jinsi ya kupata kitu bora hapa Bongo. 2019 nilipata vijipesa nikasema niende sasa nikanunue simu unajua. Kuna raha yake kufunguwa mzigo ukiwa sealed na magandayae eeeh!?!
Nikaingia K/Koo duka fulani la wapemba. Simu nilio panga kuchukua ni S8+ lakini bahati mbaya sikufanikiwa muuzaji akanishauri nichukue S7edge nikalidhia lakini rangi nilioitaka haikuwepo jamaa akaniamba ngoja nikakuchukulie kwenye duka letu lingine aisee! kumbe hapo ndio nilifanya mistake.
Alivyorudi nikaikagua ile simu ipo fresh. Akaniandikia risiti nikarudi zangu home sasa nafika niichaji ili niitumie.
Huwezi amini simu inapata moto vibaya halafu kwenye notification chini. Inaonyesha mwanga hadi ndani.
Yaani inamaana simu ilishakarabatiwa. Nilivokuja kuiwasha dakika 20 simu imezima uichaji tena daah! Nilijilaumu Sana bora hata ningerudi na pesa yangu tu..
Najua humu humu kuna wauza simu wengi sana watanishambulia kuhusiana na hili ila kiukweli watu wanatafuta pesa kwa tabu mno angalau wapate kitu bora lakini mmekuwa watu wasio na huruma..
Mnadanganya watu simu ni used from Dubai, UK, US, Sijui wapi wapi ila wengi ni waongo simu refurbished hapa hapa bongo nina kesi nyingi sana za watu kupigwa mtu baadhi yenu si waaminifu kwa wateja hivi...
Mfano iphone 6plain ni ya 2014 huko. Lakini mtu anakuja kukwambia ni full box, sealed na iko Non active. Kweli inawezekana vipi muwe wakweli.
Halafu kinachoumiza ni mnauza midosho then kwa bei ya mbaya nimeacha kabisa kununua simu K/Koo
Sijui makumbusho maeneo ni balaaa. Sisemi hakuna maduka yanayo uza vitu genuine kabisa hapana wapo ila ni wachache walio waaminifu ushauri wangu ni kama umepata pesa usikimbilie kwenda kununua vitu hivi
Tuliza kichwa fanya research duka gani lina utapata bidhaa original Lakini sio kariakoo.
Usisite kuweka maoni au ku-share jambo lililowahi kukuta kama hili. Ili na wengine iwasaidie unaweza kuokoa hela ya mtu siku ya leo.
Wanaleta simu za Dubai.Tafuta duka zuri, haijalishi location ni wapi, Ukienda Tigoshop Kariakoo huwezi pigwa.
Usinunue simu k/Koo kama sio mjanja tafuta watu humu watakusaidiaHabari za muda wakuu poleni pia hongereni kwa harakati za kulijenga taifa. Okay bila kupoteza muda niende.
Kwenye mada husika
Je ni wangapi, wamewahi pigwa vifaa vya tech ikiwemo simu, Laptops na vinginevyo hapa bongo? Najua ni wengi sana imeshawakuta hii nita-share kidogo. Kilichonikuta huko nyuma maana naona baadhi ya watu bado hawana.
Elimu juu ya hivi vitu na na jinsi ya kupata kitu bora hapa Bongo. 2019 nilipata vijipesa nikasema niende sasa nikanunue simu unajua. Kuna raha yake kufunguwa mzigo ukiwa sealed na magandayae eeeh!?!
Nikaingia K/Koo duka fulani la wapemba. Simu nilio panga kuchukua ni S8+ lakini bahati mbaya sikufanikiwa muuzaji akanishauri nichukue S7edge nikalidhia lakini rangi nilioitaka haikuwepo jamaa akaniamba ngoja nikakuchukulie kwenye duka letu lingine aisee! kumbe hapo ndio nilifanya mistake.
Alivyorudi nikaikagua ile simu ipo fresh. Akaniandikia risiti nikarudi zangu home sasa nafika niichaji ili niitumie.
Huwezi amini simu inapata moto vibaya halafu kwenye notification chini. Inaonyesha mwanga hadi ndani.
Yaani inamaana simu ilishakarabatiwa. Nilivokuja kuiwasha dakika 20 simu imezima uichaji tena daah! Nilijilaumu Sana bora hata ningerudi na pesa yangu tu..
Najua humu humu kuna wauza simu wengi sana watanishambulia kuhusiana na hili ila kiukweli watu wanatafuta pesa kwa tabu mno angalau wapate kitu bora lakini mmekuwa watu wasio na huruma..
Mnadanganya watu simu ni used from Dubai, UK, US, Sijui wapi wapi ila wengi ni waongo simu refurbished hapa hapa bongo nina kesi nyingi sana za watu kupigwa mtu baadhi yenu si waaminifu kwa wateja hivi...
Mfano iphone 6plain ni ya 2014 huko. Lakini mtu anakuja kukwambia ni full box, sealed na iko Non active. Kweli inawezekana vipi muwe wakweli.
Halafu kinachoumiza ni mnauza midosho then kwa bei ya mbaya nimeacha kabisa kununua simu K/Koo
Sijui makumbusho maeneo ni balaaa. Sisemi hakuna maduka yanayo uza vitu genuine kabisa hapana wapo ila ni wachache walio waaminifu ushauri wangu ni kama umepata pesa usikimbilie kwenda kununua vitu hivi
Tuliza kichwa fanya research duka gani lina utapata bidhaa original Lakini sio kariakoo.
Usisite kuweka maoni au ku-share jambo lililowahi kukuta kama hili. Ili na wengine iwasaidie unaweza kuokoa hela ya mtu siku ya leo.
Huko hakuna wezi ?; Ebay Aliexpress ni platform za wauzaji na wanunuzi unless ufanye due dilligence ya kuangalia comments na reviews za wanunuzi wengine..., angalau ongelea AmazonKununua hizo simu za brand kubwa kariakoo kuna asilimia kubwa sana ya kupigwa.
Kule ni kwa kununua simu za kichina hizi, tecno, infinix, redmi, itel nk
Hizo nyingine ni bora uagize ebay, aliexpress nk
Ebay ni hatari jamaa wako vizuri unapata kitu OG, tatizo elimu ya online business bongo badoHaswaaa! Napenda kuangalia feedbacks za wateja wanapotumiwa vitu mfano alie,alibaba kiukweli wengi hulalamika bidhaa ni feki totally ebay,amazon sijawahi kuona