Watumishi wizara ya Viwanda na Biashara Watinga na Sare Bunge la Bajeti

Kuna sababu gani ya kupeleka watu wote hao Bungeni? Au ndiyo katika maswala ya posho. Enzi hizo na mimi nilifanya kazi serikalini lakini sikuwa naona utitiri wa wafanyakazi wakielekea Bungeni. Kulikoni?
 
muongo mkubwa, angalia hiyo picha katibu mkuu na naibu waziri walishaondolewa. Bajeti ya wizara hiyo ilipitishwa juzi na hakuna aliyevaa sare

Ndo maana waliondolewa, sherehe kila mara wakati viwanda vyenyewe hatuna
 
Kuna sababu gani ya kupeleka watu wote hao Bungeni? Au ndiyo katika maswala ya posho. Enzi hizo na mimi nilifanya kazi serikalini lakini sikuwa naona utitiri wa wafanyakazi wakielekea Bungeni. Kulikoni?

ukiwa GT ndio unaweza kufanya uchambuzi kama wa kwako hii, wengine wanadakia kisiasa tu
 
wameua viwanda vyote sasa huko dom wamefuata nini?
na Tanzania ndio sehemu ngumu kwa wafanyabiashara wazawa kuliko nchi yeyoye EAT
 
Afu hawa ------- wananishikishaga hasir basi tu. Wanabahati hata trigger cjui inakaa wapi ngeshaingia msituni..
 
Hapo wa +ke kitamba 300000,ufundi 200000 mafuta yakumfuatilia fundi 100000 jumla 600000 tupo 1,2,3,4............ +10%
+me kitambaa 350000,ufundi 250000 vocha ya kumpigia fundi 150000 jumla 750000 hapo tupo ........wengine wamebaki ndani.hahahaha hii ndio Tanzania nchi ya asali na maziwa wewe tu ndio unashangaa.

Ndio maana nilisema staki kujua hizo sare zimegharimu Tsh ngapi!?
 
Ndo matumizi yaa kawaida hayo ya Wizara posho pamoja na sare za bajeti, pu.mbvu nyie aaarrgghh yan CCM ni janga
 
Hicho kitambaa cha bei hiyo kimetokea mbinguni? Na huyo fundi wa bei hiyo labda cherehani yake inatumia mafuta ya ndege?

Watu mna chuku sana!!
Wewe si mbishi nenda katafute Proforma zilizofika ofisini.
 
Back
Top Bottom