Watumishi wizara ya Viwanda na Biashara Watinga na Sare Bunge la Bajeti

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,136
2,000
Watumishi na Viongozi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ukumbi wa Bunge baada ya Bajeti yao kupita. EIGHT.JPG
 

Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,433
2,000
muongo mkubwa, angalia hiyo picha katibu mkuu na naibu waziri walishaondolewa. Bajeti ya wizara hiyo ilipitishwa juzi na hakuna aliyevaa sare

Kwa hiyo kila mwaka wanashonewa sare za kwenda kusherehekea kupitishwa kwa bajeti yao Dodoma!!??
 

theki

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,724
1,195
Sitaki kujua hizo nguo ziligharimu Tsh ngapi, cause naijua vizuri nchi yangu!
Hapo wa +ke kitamba 300000,ufundi 200000 mafuta yakumfuatilia fundi 100000 jumla 600000 tupo 1,2,3,4............ +10%
+me kitambaa 350000,ufundi 250000 vocha ya kumpigia fundi 150000 jumla 750000 hapo tupo ........wengine wamebaki ndani.hahahaha hii ndio Tanzania nchi ya asali na maziwa wewe tu ndio unashangaa.
 

mambomoto

JF-Expert Member
May 10, 2011
326
195
Kwa hiyo kila mwaka wanashonewa sare za kwenda kusherehekea kupitishwa kwa bajeti yao Dodoma!!??

Haya ni mafisadi tu yanawaza tu posho. Hayana mwelekeo wowote wa kufanya mapinduzi ya viwanda hapa nchini kazi kuvaa sare tu na kulilia posho. Kila siku tunatengeneza sera mpaka Masihi atakapo rudi.
 

Chilli

JF-Expert Member
Jul 17, 2011
1,656
2,000
Hapo wa +ke kitamba 300000,ufundi 200000 mafuta yakumfuatilia fundi 100000 jumla 600000 tupo 1,2,3,4............ +10%
+me kitambaa 350000,ufundi 250000 vocha ya kumpigia fundi 150000 jumla 750000 hapo tupo ........wengine wamebaki ndani.hahahaha hii ndio Tanzania nchi ya asali na maziwa wewe tu ndio unashangaa.

Hicho kitambaa cha bei hiyo kimetokea mbinguni? Na huyo fundi wa bei hiyo labda cherehani yake inatumia mafuta ya ndege?

Watu mna chuku sana!!
 

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,946
2,000
Watumishi na Viongozi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ukumbi wa Bunge baada ya Bajeti yao kupita. View attachment 159780


Alafu mwangalie Waziri Dr.kigoda Mzima na u-Dr wake akifurahi zoezi hilo. Kweli Tanzania kupitia Serikali hii ya JK/CCM kitu maendeleo tusubiri mpaka Yesu arudi.

Ebu tufanye tathimini ndogo hawa wafanyakazi kwa hesabu za kwenye Picha ni 30-40

Hizo nguo??
Hizo posho??
Mie hesabu sijui wataalamu watakuja na Majibu?

Enzi za Mwalimu Waziri huyu pamoja na Makatibu wake wote kazi hakuna.
Watu wote hawa Dodoma walikuwa na Kazi gani?

Vijana wa Lumumba njooni pande hii mtusaidie kama zoezi hili la Dr.Kigoda si ufisadi kweli! Alah Kumbe @Nape Nauye ni Member humu JF!

 

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,136
2,000
muongo mkubwa, angalia hiyo picha katibu mkuu na naibu waziri walishaondolewa. Bajeti ya wizara hiyo ilipitishwa juzi na hakuna aliyevaa sare

sawa ilikua may 2013, lakn muktadha wa mada uko palepale kwa sababu ni tukio la mwaka jana na source ni michuzi au na yeye mnamkana?
 

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,136
2,000
hicho kitambaa cha bei hiyo kimetokea mbinguni? Na huyo fundi wa bei hiyo labda cherehani yake inatumia mafuta ya ndege?

Watu mna chuku sana!!

leo nimemsikia kwa masikio yangu mh idd azan akisema kupulizia basi moja dawa ya dengue ni 25,000/=
 

MANI

Platinum Member
Feb 22, 2010
7,289
2,000
dah, kumbe ni 65,000? lahaula, Mani nimeianzishia mada kule jukwaa la siasa, ngoja nikapesti na hii

Bei wanatichajiwa ndio hio lakini receipt inasoma 1000. Kuna mvutano na wenye mabasi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom