makafiri ka kujidanganya mnaweza sana............
Kwa sababu hawanywi bia zinawatosha, lkn watakuwa wanavuta hawa si bure!
Soma mada juu, kinaongelewa "watumishi wa mashirika" ya nje. Si "individuals". Hata hao individuals wa kigeni ukienda makwao hukosi walinzi wa uhakika.
Hivi ni nini ambacho hukielewi au ili mradi tu ubishe.
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...
Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?
sielewi unatofautisha watumishi wa mashirika ya nje na individuals namna gani hasa katika muktadha wa kiusalama, sababu sidhani kama ubarozi wa marekani unaweza kumonitor usalama wa wamerakani wanaofanya kazi ubarozini pekee na kuachana na wamarekani wengine wote.
kimsingi hakuna kitu nachobishia ila natafuta maelezo sahihi, hauwezi kukaa hapa na kutype kwamba hata hao individuals wa kigeni ukienda makwao hukosi walinzi wa uhakika wakati sisi ndio tunaishi nao huku na tunaulinzi majumbani mwetu kuliko wao.
wewe nimeishaconfirm, unabisha kwa ajiri ya kubisha tu, ngoja nirudi kwa mwanakijiji.
Soma post #1 halafu umuulize mleta mada kwanini aliwataja "watumishi wa mashirika ya kimataifa" pekee.
Nimeona, infact amesema hata mashirika ya ndani yapo yanayofanya hivyo, tushirikiane kumuuliza, nafutilia majibu yake kwa maswali yako, nachopinga ni nikuwa extremists sababu inasababisha outright bias.
Extremism ya nini? mtu kauliwa, Jee, mshajuwa kilichomfanya auliwe? Jee, mshamjuwa aliomuuwa? lets not reach our climaxes prematurely.
wewe ni extremist sababu hakuna dalili zozote kwamba unaweza ukakubaliana na mtu yeyote anayehofu kwamba zanzibar kuna tatizo la kiusalama katikati ya mauaji na hujuma zinazoendelea.
hapa tayari umekwishaniclassify kwamba na mimi ni mmoja ya watu ambao wamekwisha conclude nani wamehusika na mauaji ya askofu aliyeuwawa jumapili, wakati katika issue hii mimi na wewe tumeshindwa kukubaliana kwenye swala la security monitoring inayofanywa na wageni wetu hapa nchini, hakuna sehemu tumezungumzia mauji sasa wewe haya unayotoa wapi?
you are all out to defend kila kitu ambacho watu wanaona hakiko sawa, this is just too much, looks like you are out of your mind.
Zanzibar kuna tatizo, kukataa hakumsaidii mtu yeyote yule, hata ninapata wasiwasi kama uko nchini wewe, kuna uwezekano tofauti yako na mwanakijiji ni positions tu.
Lakini Wazanzibar wengi wamechukizwa sana na kitendo hicho (cha Mauaji ya Fr. Mushi), maana jana niliongea na watu kadhaa wa huko Zanj na walisema Zanj ilikuwa imepoa sana siku nzima na majority hawakupendezwa kabisa na walikuwa wanalaani hiyo hali
Kwanini wewe sio extremist? au kwa sababu aliyeuliwa ni mchungaji wa kondoo?
Umasikini na Amani havikai pamoja!
Wanafiki haoLakini Wazanzibar wengi wamechukizwa sana na kitendo hicho (cha Mauaji ya Fr. Mushi), maana jana niliongea na watu kadhaa wa huko Zanj na walisema Zanj ilikuwa imepoa sana siku nzima na majority hawakupendezwa kabisa na walikuwa wanalaani hiyo hali
wewe ni extremist sababu hakuna dalili zozote kwamba unaweza ukakubaliana na mtu yeyote anayehofu kwamba zanzibar kuna tatizo la kiusalama katikati ya mauaji na hujuma zinazoendelea.
hapa tayari umekwishaniclassify kwamba na mimi ni mmoja ya watu ambao wamekwisha conclude nani wamehusika na mauaji ya askofu aliyeuwawa jumapili, wakati katika issue hii mimi na wewe tumeshindwa kukubaliana kwenye swala la security monitoring inayofanywa na wageni wetu hapa nchini, hakuna sehemu tumezungumzia mauji sasa wewe haya unayotoa wapi?
you are all out to defend kila kitu ambacho watu wanaona hakiko sawa, this is just too much, looks like you are out of your mind.
Zanzibar kuna tatizo, kukataa hakumsaidii mtu yeyote yule, hata ninapata wasiwasi kama uko nchini wewe, kuna uwezekano tofauti yako na mwanakijiji ni positions tu.[/QUO
Tatizo sio kuuwawa kwa padri bali ni kuuliwa na UAMSHO.
Dini imeifanya ZNZ KUWA SI SALAMA TENA KWA WAKTISTO NA WAGENI . Full stop
Pakazieni dunia nzima ya kwamba z'br kuna magaidi,lakini mkae mkijua target ya wazenji ipo palepale,jamhuri ya
Watu wa z'br kwanza chokochoko hazina nafasi.