Kama hamtaki Watumishi wa umma wahame mseme! Ina maana Halmashauri zote zimejaa?

Ntemii

JF-Expert Member
May 25, 2022
290
525
Wakuu habari

Naona dhamira ya kuzuia uhamisho wa watumishi wa umma kwa serikali ya awamu ya sita imejidhihirisha rasmi kupitia mfumo wa utumishi portal.

Kwa sasa vikwazo ni vingi zaidi hata kipindi cha paper work.

Nimejaribu kuomba nafasi zaidi ya halmashauri 10 tena ambazo na uhakika zina uhitaji wa watumishi wa kada yangu jama sehemu ya uchunguzi wangu binafsi, cha ajabu na kushangaza mfumo unagoma ku submit ombi ukidai halmashauri husika haina nafasi kwaajili ya uhamisho huo.

Inasikitisha sana,watumishi wanateseka sana kisa huu mfumo,utumishi sikilizieni kilio cha watumishi,mnaonekana kikwazo na kero kwa watumishi na kujenga chuki baina ya watumishi na serikali yao.
IMG_4893.jpg
 
View attachment 2861941
Kuna watu wameomba kubadilishana vituo tokea march 2023 majina hawajatoa mpk leo
 
Back
Top Bottom