Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Kuna siri gani alivujisha? Wengi nimewauliza hili swali lakini sikuwahi kupata jibu
Kipindi cha Rais Magufuli siri zilikuwa zinavuja sana haswa siri kutoka Ikulu, ilifika hatua hata hotuba ya Rais inajulikana kabla hajaenda kuhutubia. Mfano mwingine hata taarifa za kifo cha Rais Magufuli zilivuja kabla ya tarehe 17/03/ watu walijua kuwa hatunaye tena japo serikali ilijitahidi kuficha kwa kila namna....
 
kwani wewe hujui wanaongezwaga shilingi ngapi? au na wewe mmoja wao? mwaka huu hamna kitu ndugu ndiomaana jiwe aliwakalisha miaka sita nil nil

Wivu mbaya sana. Kwikwikwi. We endelea kusota mtaani. Siku mbili zimebaki mshahara tupate. Hata km imeongezwa buku moja sawa tu. Kikubwa ni uhakika wa mshahara Kila mwezi mpk tunaenda kaburini
 
Oya 55K?

Yaani nyongeza ya 1.6 Trillion (2022/2023) Kwa ajili ya mishahara ya watumishi
Ndo iwe 55K? Kwa daraja D?

Basi kama ni ivo mtu WA daraja D hajaifikia hata 10% ya nyongeza ya mshahara wake

This is totally robbery.
Mshahara upo kwa ajili ya kuwainua wale wa kima cha chini mkuu angalau nao wainuke,
TGTS G kuna mzee wangu alikuwa anapokea kitu kama M1 na laki 9 na 70 na point huko ila kachungulia anaikuta kama LAKI MOJA na point ndo nyongeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya 55K?

Yaani nyongeza ya 1.6 Trillion (2022/2023) Kwa ajili ya mishahara ya watumishi
Ndo iwe 55K? Kwa daraja D?

Basi kama ni ivo mtu WA daraja D hajaifikia hata 10% ya nyongeza ya mshahara wake

This is totally robbery.
Ila kiwango cha Elimu nacho kitawafanya mtofautiane japo wote mpo daraja moja mfano DARAJA D,
Ila mimi hapo nazungumzia mwenye ngazi ya Cheti katika daraja hilo ambao BASIC SALARY 716,000/= tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: F4B
Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc

Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?

Jinga kabisa, it doesn’t work like that
 
Ila kiwango cha Elimu nacho kitawafanya mtofautiane japo wote mpo daraja moja mfano DARAJA D,
Ila mimi hapo nazungumzia mwenye ngazi ya Cheti katika daraja hilo ambao BASIC SALARY 716,000/= tu.

Sent using Jamii Forums mobile
Post yangu imekuwa valied hadi leo tarehe 20/07/2022. Bado haina jibu sahihi la ikiwa watumishi watacheka, kunung'unika au kulia.Siku zimebaki mbili za uhakika ya tatu kitaeleweka yaani tarehe 23/07/2022.
 
Hakika Rais Mama Samia ameteka mioyo ya watanzania wote.

Amerudisha TABASU la furaha na faraja kwa watanzania wote.

Mungu amlinde na wabaya wote.
 
Back
Top Bottom