A
Anonymous
Guest
Watumishi wa afya Babati tunahamishwa sana tena kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho, inatakiwa ulipwe ndio uhamishwe kwenda kituo kingine lakini tunashinikizwa kuhamishwa na hatupewi pesa zetu za uhamisho.
Wengine ni miaka sasa ushaomba hupewi wengine wamehamishwa hivi karibuni bado hawalipwi tunataka kujua lini tutapewa pesa zetu za uhamisho.
Hapo bado kuna malimbikizi ya mshahara, barua zilishapelekwa hadi leo hii hatujalipwa watuambie watatulipa pesa zetu lini Halmashauri ya Babati.
Wapo wa Mwaka 2024 mpaka leo hawajalipwa, wapo wa 2025 hatujalipwa na barua zimepelekwa tayari halmashauri adi leo hii hazijafanyiwa kazi.