Watumishi hewa 515 wagundulika katika mikoa mitatu

Watumishi hewa 515 wagundulika katika mikoa mitatu

Kitu kinachosikitisha sana ni kwamba mianya ya upitevu imezibwa sasa imechochea matukio ya ujambazi na uporaji.
 
Duuh, hongera Raisi ,Waziri Mkuu hongereni pia wakuu wa mikoa, tunaomba Kama ni Anti Virus mui Update mtakapo pita Mawizarani , huko ndio hatari zaidi, maana Maafisa Uajiri na Wahasibu ni miungu watu.... Maana kama faili la mtu mzima alie hai lina fichwa ...hapati stahiki Zake kama kupanda cheo au pesa za likizo itakuaje kuhusu hao wafanyakazi Hewa? si itakua ni balaaa?
 
Haya yote unaoyaona na matokeo ya Kikwete kuanzisha system ya kuyabaini hayo, jisomee:

Katika repoti yake ya mwaka 2013/14, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alibainisha kuna zaidi ya Sh141.4bn zimelipwa kwa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha.
cheap politics, Magufuli is different dimensions
 
Ningemuina Magufuli wa maana zaidi kama angewatumbua wanasiasa waliyofikisha hii nchi ilipo..madiwani na watu type ya Bilembo...kina madabida nk
 
Kaisome ilani ya uchaguzi ya CCM ndipo utapoelewa.
Ilani ya CCM haijawahi kutamka kitu walichokuwa wanadhamiria kukifanya! Huwa wanaweka maneno mazuri ya kulaghai wapiga kura huku wakiwa hawana dhamira ya kuyatekeleza! Yaani supporting by words but opposing by actions!
Wewe ni shahidi mzuri wa jinsi CCM walivyowahi kuwalaghai waislam na wewe ukiwamo katika ilani zilizopita kuwa, wakipata ridhaa ya kuunda serikali wataanzisha mahakama ya kadhi, huku wakijua fika kuwa jambo hilo hawatalitekeleza, maana halitekelezeki!
 
Mahakama ya kazi mbona ruksa ilishika zamani sana, umelala.

Ukisoma huelewi basi hata picha huoni?
 
Kwa mtaji huu haishangazi kuona nusu ya makusanyo kitaifa yanatumika kulipia mishahara ya watumishi wa serikali.

Haishangazi kuona gap la wenye nafasi za kupiga dili kama hizi (accumulation of dubious wealth) lilikuwa linapanuka kwa haraka ukilinganisha na wasio na nafasi.

Kazi iliyoko mbele ya Rais Magufuli ni pevu. These are high pressure situations and he has to keep a cool, calm and collected head, otherwise he'll go nut.

Hii nchi ina maajabu na vituko!
Maajabu yanaendelea
 
Na pia CAG alikuwa ha ripoti bungeni, na pia ripoti zake zilikuwa zinakuja baada ya miaka minne mpaka mitano ambazo zilikuwa hazina faida yoyote.

Kikwete alibadili yote hayo lakini mapunguani wengi humu hawaelewi hayo.

so ile kauli ya dhaifu...,unaitendeaje hapo sasa?...
 
Back
Top Bottom