Watumishi hewa 515 wagundulika katika mikoa mitatu

Watumishi hewa 515 wagundulika katika mikoa mitatu

Kinga ya Rais Mstaafu kutoshtakiwa ni ujinga mtupu, inaweka loop hole kwa viongozi kujifanyia mambo watakavyo
 
Nilikuwa iramba jaman ilikuwa salary slip kwa salary slip jina kwa jina sura kwa sura. Kiukwel wale wadau walikuwa makini. Tunangoja impact sasa
Maeneo mengine hawakuwa Serious hata kidogo, na weakness kubwa ni kwamba watuhumiwa waliowajiiri hao watumishi hewa ndio waliokuwa wasimamizi wa zoezi zima
 
Acha unafiki kijana, tena koma kabisa kufikiria kuwa haya yalikuwepo wakati wa KIKWETE TU. Haya yalikuwepo wakati wote na kwa taarifa yako hayo ni tone tu ktk bahari, machafu ni kila sehemu.

UKWELI NI KWAMBA SERIKALI ZOTE ZA CCM, NYAKATI ZOTE ZIMEOZA NA WALA MAGUFULI HAWEZI KUREKEBISHA CHOCHOTE. LA MUHIMU NI KUIWEKA CCM PEMBENI NDIO UTAONA MAAJABU YA MUSA.

NAKUOMBA USEME TENE NA RUDIA KUWA CCM IMEOZA NA INANUKA.
mkuu ukishaaweka CCM pemben ndo akina lowasa karamai , ROSTAM na mbowe watafunua huo UOZO are you seriously .. ni juzi tu EDO amelalamika waliokuwa wanamuunga mkono wanabughudhiwa
la msingi mim walau tumepata mtu wa kulisimamia kidate hilo swala
 
Kwa mtaji huu haishangazi kuona nusu ya makusanyo kitaifa yanatumika kulipia mishahara ya watumishi wa serikali.

Haishangazi kuona gap la wenye nafasi za kupiga dili kama hizi (accumulation of dubious wealth) lilikuwa linapanuka kwa haraka ukilinganisha na wasio na nafasi.

Kazi iliyoko mbele ya Rais Magufuli ni pevu. These are high pressure situations and he has to keep a cool, calm and collected head, otherwise he'll go nut.

Hii nchi ina maajabu na vituko!
Brilliant contribution. Hili LA wafanyakazi hewa ni jibu limeshaanza kutumbuliwa. Lakini kuna tambazi LA vyeti feki hata kuguswa bado.
 
Tunasubiri wote waliohusika wafikishwe kwa pilato.
Mimi sio kwamba ninasubiri wafikishwe tu kwa pilato bali ninataka wafungwe kifungo kirefu ili liwe fundisho kwa wengine ambao bado wanadhani njia mbadala ya kuwa tajiri kama mfanyakazi wa serikali ni kujipatia kipato cha wizi wa kodi ya wananchi.
 
Hao wakuu wao wa idara kuna haja ya kuwasimamisha kazi.
Na hao wanaoleta uhuni wa kuwacover nao vibarua viote nyasi tuko na pool ya vijana ambao wanamudu izo kazi
 
Kitu ambacho huaga sikielewi hua ni hiki; hiyo mjini iliyotumika kuwabaini watumishi hewa mikoani ilikiaje haikutumika kabla ya mkwala wa mzee Pombe? Yaani sitashangaa nikisikia na kule Morogoro kwa yule doctor aliyelilia cheo chake nako wakikutwa watu hewa. Ni changamoto kwetu humu, kwanini hua hatuwezi kufanya jambo lilili ndani ya uwezo wetu hadi boss akukwambie cha kufanya! So Magu akipiga mkwara wa hataki njaa ndio tutaanza kuwapa semina elekezi wakulima kwamba wasiuze mazao yao yote bila kuweka akiba?
 
Na wanaofaidika na hii mishahara mingine ni hewa na mingine watumishi ambao wameacha kazi na kujiingiza kwenye CCM wanaendelea kula mishahara nauku kazini hawaji kisa ni wanaCCM
 
Na wanaofaidika na hii mishahara mingine ni hewa na mingine watumishi ambao wameacha kazi na kujiingiza kwenye CCM wanaendelea kula mishahara nauku kazini hawaji kisa ni wanaCCM
wew jamaa kwa hiyo ukijiingiza tu ccm tayari unakuwa umesalimika na mfanyakazi hewa
 
Nilikuwa iramba jaman ilikuwa salary slip kwa salary slip jina kwa jina sura kwa sura. Kiukwel wale wadau walikuwa makini. Tunangoja impact sasa
Nimeipenda hiyo.
Nchi nzima waige huo mfano wa iramba
 
Mimi ningekuwa nashauri.ningesema hivi;-hili zoezi ni sawa lina simamiwa na wakuu wa mikoa na wilaya lakini wafuatao wasishirikishwe zaidi ya kuwa taka watoe data tu pale panapostahili.
1;wakurugenzi na maafsa utumishi kwani wao ni wadau wanaopashwa kujua wafanyakazi hewa before ya zoezi hili.
2;wakuu wa idara wote ktk ngazi ya halmashauri,manispaa na jiji,kwa mfano maafsa Elimu,afya DMO na wengine wanaopata order ya mkurugenzi.hata maafsa watendaji kata ,walimu wakuu na n.k.
3:maafsa usalama,wakishirikiana na time ndogo ya wataalamu watakao teuliwa na wakuu wa mikoa na wilaya.bila kusahau watu makini wa IT.na wengine toka ofsi ya rais au timu maalumu.
Vinginevyo zoezi halitakuwa la ufanisi.wafanyakazi hewa watoke iliwachache wanaobaki walipwe vizuri inauma saana watu kula mshahara ambao hawaustahili .Namuunga mkono Rais wangu magufuri tumpe support
 
Nisome tena kama hujanielewa.

Hata huyo Joseph mlisema jina kalitoa mfukoni.

Halafu nenda kaisome ilani ya uchaguzi ya CCM uone kilichomo, usiogope siyo msahafu ule.
Mhh we dada mwenzangu unaitaji maombi haya siyo mapenzi unahitaji ukombozi wa kifikra.
 
Huo uchafu bila ya Kikwete usingeuona, kwanini hujiulizi, Nyerere, Mwinyi na Mkapa walikuwa wapi?

Haya yote unaoyaona na matokeo ya Kikwete kuanzisha system ya kuyabaini hayo, jisomee:

Katika repoti yake ya mwaka 2013/14, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alibainisha kuna zaidi ya Sh141.4bn zimelipwa kwa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha.
wewe na Jk mna undugu?
 
Back
Top Bottom