Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Jambo jema. Pesa hiyo iliyokua inapotea itaelekzwa kwenye huduma za kijamii.
Siku 15 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa Wakuu Wapya wa Mikoa kuhakikisha wanawabainisha na kuwaondoa wafanyakazi hewa zimeanza kutoa picha kuhusu tatizo la wafanyakazi hewa nchini.
Mpaka sasa imebainika kuna wafanyakazi 515 katika mikoa mitatu ambayo ni Kigoma (169), Dodoma (144) na Singida (202).
Taswira hii inaonyesha jinsi ambavyo tatizo la wafanyakazi hewa linaweza kuwa ni kubwa zaidi ya ilivyofikiriwa hasa ikichukuliwa limekuwepo kwa muda mrefu huku mamilioni ya pesa za walipa kodi yakienda kwenye mifuko ya wajanja wachache.
Inakadiriwa serikali ina wafanyakazi zaidi 500,000 na inalipa mishahara takriban Sh. bilioni 549 kwa mwezi, ambayo kati ya fedha hizo kuna malipo ya wafanyakazi hewa.
Katika repoti yake ya mwaka 2013/14, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alibainisha kuna zaidi ya Sh141.4bn zimelipwa kwa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha.
Hata Mimi nawashangaa sana Hawa viti maalumAngalizo lako ninakubaliana nalo 101%
Hakuna kitu kinachonichukiza kama kuwa na bunge lenye wabunge wa viti maalum ili tu kuweka uwiano katika jinsia. Haya ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi.
Kapewa taarifa 2013/14 hadi kaondoka madarakani hajafanya chochote na tatizo bado sugu, halafu wewe unaandika upupu hapa. Kweli wewe zuzu.Haya yote unaoyaona na matokeo ya Kikwete kuanzisha system ya kuyabaini hayo, jisomee:
Katika repoti yake ya mwaka 2013/14, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alibainisha kuna zaidi ya Sh141.4bn zimelipwa kwa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha.
Ningemwita Kikwete shujaa angetuambia Escrow ya nani na nani alihusika, bila kupepesa na kwa kumuogopa Mungu from his heart.
Wewe Mazaa niaje? Unatetea mpaka wafu? Alichukua hatua gani??? Kuzuia wafanyakazi hewa?????Haya yote unaoyaona na matokeo ya Kikwete kuanzisha system ya kuyabaini hayo, jisomee:
Katika repoti yake ya mwaka 2013/14, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alibainisha kuna zaidi ya Sh141.4bn zimelipwa kwa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha.
yaan we bibi ni mdini kupitiliza akitajwa wa dini yako tu lazima umtetee ht kama ni jipu kweli.Haya yote unaoyaona na matokeo ya Kikwete kuanzisha system ya kuyabaini hayo, jisomee:
Katika repoti yake ya mwaka 2013/14, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alibainisha kuna zaidi ya Sh141.4bn zimelipwa kwa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha.
yaan we bibi ni mdini kupitiliza akitajwa wa dini yako tu lazima umtetee ht kama ni jipu kweli.
Wewe Mazaa niaje? Unatetea mpaka wafu? Alichukua hatua gani??? Kuzuia wafanyakazi hewa?????
Yeye yalimshinda?Alichukua hatua ya kumpaisha Magufuli ili aje kuwashughulikia, au hulijuwi hilo?
Kapewa taarifa 2013/14 hadi kaondoka madarakani hajafanya chochote na tatizo bado sugu, halafu wewe unaandika upupu hapa. Kweli wewe zuzu.
Huo udini maana yake nini? Au kumtaja mafanikio ya Kikwete ni udini?
Roho zinawauma akitajwa Kikwete sijui kawakosea nini?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Yeye yalimshinda?