Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,770
- 39,451
Ngoja kwanza nianze nilipo ishia jana sikutegemea kama huu uzi utafikia huku😁😁😁Soma huko juu wii ujionee wanawake wajinga wanavyojizalilisha yani miaka hii ya kuzamia sherehe na kuomba kupiga picha na oppo?? Halafu wanamkataza kanuna hasira anamalizia JF na huku wamemchunia 😂😂😂😂