Watumiaji wa Internet Explorer wana IQ ndogo

Mh!!

It is Called Browser WAR!!!>NI KAMA MITANDAO YA SIMU TANZANIA KILA MOJA INA RAHA NA KARAHA ZAKE<

Japo wote wanaiponda IE i think the latest version IE 9 has interesting Fetures that other browser.mfano!!

Internet Explorer 9, adds hardware acceleration for graphics-intensive sites and arguably the best privacy tool to prevent tracking of your Web activities by marketing sites

Firefox offers a Panorama view of your tabs and a refreshed version of what's still the most powerful set of customizations, along with the ability to sync bookmarks, history, settings, and more.

Google's Chrome, which may be the fastest growing browser in history in terms of market share, is also the most frequently updated. It's already at version 10 after just two and a half years. Chrome, too, offers syncing, but on top of this it adds some pretty powerful, useful features—its Instant feature starts displaying a page from your history before you even finish typing in the Omnibox, its combined address-search box. And the browser comes with built-in viewers for Flash and PDF content, saving you from having to install separate plug-ins.

Safari exist predominantly in Apple Mac territory, there's no reason Windows users can't enjoy the unique and—typical-of-Apple—beautifully designed extras if offers. Its "Reader" view cuts all the ads and unnecessary items off a page you just want to read the text on, and the Top Sites page offers a stunning 3D gallery view of your most frequently needed Web locations.

Opera. No browser has brought more innovation when compared with the size of its user base. Tabs, the search box, and zoom all started with Opera. Though it can claim only about 2 percent of Internet users, that still means tens of millions who know about the browser's Speed Dial for getting to you favorite sites quickly, Turbo for speeding up slow connections, and Unite, which actually turns your computer into a Web server. Also unique to Opera are its tab stacking, mouse gestures, and built-in Bittorrent client. tena kuna private browsing.

SO UKIJUA HILO INABIDI UANGALIE NA SHUGHURI GHANI UNAFANYA NA BROWSER GANI INAKUFAA.

Me natumia Opera na IE9 haijawahi kuni angusha JUST stay uptodate!!!!
Opera pekeeeeeeeeeeee ndio inafungua .wml aka wapsite. IE is also the best labda kama unatumia version ya mwaka AROBAINI NA SABA!!!

AND REMEMBER IQ HAIPIMWI KWA BROWSER..... Kunavipimo vinafahamika this research was JUST a HOAX!!
 
Hapana. Nafikiri walengwa ni wale ambao bado wanatumia internet Explorer 6 ambayo ni "notoriously buggy and incompatible with pretty much everything except malware." Imagine Internet explorer sasa ipo version ya 9 lakini bado wapo wanatumia version ya 6 na wanaona is perfectly fine. Kiutaalamu wanasema watu wenye IQ ndogo hawapendi mabadiliko. Kwa hiyo utafiti umejaribu ku extend hii hypothesis kwenye software japokuwa wamesema utafiti zaidi unatakiwa.

Kabla ya hii study, nilichokuwa najaua ni kuwa kama unatumia Internet Explorer hata kama ni latest version, you're likely to encounter malwares, trojans, na hata vurus kulinganisha na browsers nyingine. Sababu ni kwamba, tofauti na browsers nyingine, Internet Explorer inakuwa more targeted zaidi kwa kuwa bado inatumiwa na watu wengi na wengi wa hao watu hawafanyi regular updates.
uko deep 2 the inner level.lol
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Natumia Firefox, Comodo Dragon na custom made web agent, nakaa mbali sana na Chrome kwasababu SEO ila sidhani kama watumiaji wa IE wana IQ dongo bali wengi wao sio techi savvy.

Na nadhani wa jinsia ya kike wengi wanakwenda kwa mfumo wa default. Wadada wengi hawapendi mambo ya installation . Ndio hiyo unaita tech savy.

teh teh teh sijasema wadada wana IQ ndogo
 
Utafiti uliofanywa unaonyesha kuwa watumiaji wa Internet Explorer wana IQ ndogo. Utafuti umekuta kwamba wanaotumia Chrome, Firefox na Safari wana IQ ya kati na wale wanaotumia Camino and Opera wana IQ ya juu sana. Kampuni iliyofanya huo utafiti inaitwa AptiQuant na wametishiwa kuchukuliwa hatua za kisheria na wapenzi wa Internet Explorer. Habari kamili: BBC News - Internet Explorer users have lower IQ says study

Wewe unatumia browser ipi? Mie Chrome.



Hii post imenichekesha bana... alafu siku zoote hupenda Internate Explorer...
ila baada ya ku change PC hii Windows Vista ikanigomea Explorer na kuswitch to Fire fox... hapa sasa napima vipi?? lol
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Internet Explorer story was bogus

A story which suggested that users of Internet Explorer have a lower IQ than people who chose other browsers appears to have been an elaborate hoax. A number of media organisations, including the BBC, reported on the research, put out by Canadian firm ApTiquant. It later emerged that the company's website was only recently set up and staff images were copied from a legitimate business in Paris. It is unclear who was behind the stunt.


The story was reported by many high profile organisations including CNN, the Daily Mail, the Telegraph and Forbes. Questions about the authenticity of the story were raised by readers of the BBC website who established that the company which put out the research - ApTiquant - appeared to have only set up its website in the past month.

Thumbnail images of the firm's staff on the website also matched those on the site of French research company Central Test, although many of the names had been changed. The BBC contacted Central Test who confirmed that they had been made aware of the copy but had no knowledge of ApTiquant or its activities.

Research claims

ApTiquant issued a press release claiming that it had invited 100,000 web users to take IQ tests and matched their results with the type of browser they used. It also supplied extensive research data. The results claimed to show that Internet Explorer users were generally of lower intelligence. The BBC sought alternative views for the original story, including Professor David Spiegelhalter of Cambridge University's Statistical Laboratory, who said: "I believe these figures are implausibly low - and an insult to IE users."

No-one on ApTiquant's contact number was available for comment. Graham Cluley, senior security consultant at Sophos, examined the source material for the BBC after concerns were raised. "It's obviously very easy to create a bogus site like this - as all phishers know it's easy to rip-off someone else's webpages and pictures," he said. Mr Cluley also looked at the pdf file containing the data that many people had downloaded from a variety of sources and said it did not appear to contain malware.

BBC News - Internet Explorer story was bogus
 
Hii post imenichekesha bana... alafu siku zoote hupenda Internate Explorer...
ila baada ya ku change PC hii Windows Vista ikanigomea Explorer na kuswitch to Fire fox... hapa sasa napima vipi?? lol

I hate Internet Explorer. Sikumbuki mara ya mwisho nilitumia lini. Duh! Halafu na wewe bado unatumia vista? Wanaotumia Vista nao IQ zao ndogo. lol. Bora XP or Windows 7 au hata Ubuntu.
 
I hate Internet Explorer. Sikumbuki mara ya mwisho nilitumia lini. Duh! Halafu na wewe bado unatumia vista? Wanaotumia Vista nao IQ zao ndogo. lol. Bora XP or Windows 7 au hata Ubuntu.


Ubuntu ilinitenda... yaani usinikumbushe machungu hayo... ndo kisa cha Vista...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hapana. Nafikiri walengwa ni wale ambao bado wanatumia internet Explorer 6 ambayo ni "notoriously buggy and incompatible with pretty much everything except malware." Imagine Internet explorer sasa ipo version ya 9 lakini bado wapo wanatumia version ya 6 na wanaona is perfectly fine. Kiutaalamu wanasema watu wenye IQ ndogo hawapendi mabadiliko. Kwa hiyo utafiti umejaribu ku extend hii hypothesis kwenye software japokuwa wamesema utafiti zaidi unatakiwa.

Kabla ya hii study, nilichokuwa najaua ni kuwa kama unatumia Internet Explorer hata kama ni latest version, you're likely to encounter malwares, trojans, na hata vurus kulinganisha na browsers nyingine. Sababu ni kwamba, tofauti na browsers nyingine, Internet Explorer inakuwa more targeted zaidi kwa kuwa bado inatumiwa na watu wengi na wengi wa hao watu hawafanyi regular updates.

Hapo kwenye nyeusi nakubaliana na wewe kabisa mkuu!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Unajua mkuu kuna baadhi na ofisi nyingi wanalazmika kutumia oudated IE sababu application au program wanazotumia zimetengenezwa arround IE version fulani tu . Nimeshakutana na Hii kitu Kuna watu au kampuni hawafanyi upgrade ikitoka. Wao as along as kitu kinapiga mzigo safi basi hawaoni umuhimu wa kuupgrade.

Binafsi natumia chrome na firefox specifically kwa ajili ya kucheza cheza na mambo ya web.

Sijui hao jamaa wa ngefanya esearch kwa kutumia OS matokeo yangekuwaje. Maana mm bado nina XP na ubuntu . Na most of the time natumia windows unless kuna mambo yanayohitaji linux

Yea, kama wewe ni mtu wa kucheza na webs, chrome na firefox ni much better. Hasa Firefox kwa sababu ya addons kama firebug, etc. Mwenyewe natumia xp and windows 7. Xp bado ni bamba sana, though nafiri support inaisha 2013? Bado natumia Word 2003 japokuwa nasikia ipo Word 2010. Simplicity is what matters kwa watu wengi.
 
Wazushi hao na tafiti zao zisizo na maana suala la IQ ni la kuzaliwa nalo hvyo ajalish unatumia internet explorer, opera, firemox and whatever.
 
My first browser ni Firefox ,ingawa sometimes natumia Chrome na Opera,nilishaacha kutumia Internet Explorer
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom