Watumiaji wa Internet Explorer wana IQ ndogo

Watumiaji wa Internet Explorer wana IQ ndogo

Wazushi hao na tafiti zao zisizo na maana suala la IQ ni la kuzaliwa nalo hvyo ajalish unatumia internet explorer, opera, firemox and whatever.

Mkuu you can improve your brain power. We can't all be born a Stephen Hawking or an Albert Einstein. But the most important thing is that you you can improve your brain power just like your body. It needs exercise. So use it, or you may well lose it altogether.
 
Natumia opera, chrome na ie nafungua zote itakayowahi kufunguka ndio naendelea nayo, mara nyingi opera na chrome hu lead!
 
Natumia Firefox kwenye computer na Opera kwenye simu
 
Huuu utafiti ni CRAP!. Kulingana na IQ test niliyofanyiwa na ''wataalamu wa IQ'' IQ ni ya ukweli haswa ,na natumia IE ,just upgraded to IE 9..beautiful..
 
Hapana. Nafikiri walengwa ni wale ambao bado wanatumia internet Explorer 6 ambayo ni "notoriously buggy and incompatible with pretty much everything except malware." Imagine Internet explorer sasa ipo version ya 9 lakini bado wapo wanatumia version ya 6 na wanaona is perfectly fine. Kiutaalamu wanasema watu wenye IQ ndogo hawapendi mabadiliko. Kwa hiyo utafiti umejaribu ku extend hii hypothesis kwenye software japokuwa wamesema utafiti zaidi unatakiwa.

Kabla ya hii study, nilichokuwa najaua ni kuwa kama unatumia Internet Explorer hata kama ni latest version, you're likely to encounter malwares, trojans, na hata vurus kulinganisha na browsers nyingine. Sababu ni kwamba, tofauti na browsers nyingine, Internet Explorer inakuwa more targeted zaidi kwa kuwa bado inatumiwa na watu wengi na wengi wa hao watu hawafanyi regular updates.
si kweli kuwa watu wenye iq ndogo hawapendi mabadiliko kimsingi kwa matumizi ya kawaida huhitaji opera kufanya mambo ya kawaida labda ,hizi ni mbinu za biashara tuu
 
mie natumia USAMBARA ila somtimes nachanganya na MOZILLA FIREFOX
 
Back
Top Bottom