nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,488
- 11,182
napenda gongo na kimpumu hizi zngine aaaaagh
Mkuu Hizo Pombe Kwasasa Zipo Kwenye Mfumo Wa Drip Hupitishi Mdomoni Tena Ila Kwenye Mishipa Unalewa. Ni PM Nikuelekeze.nilijaribu plisner sijui nimepatia miaka hyoo yaani nusu glass nikatapika yote.chuo nikajaribu tusker reds castle zoote nikashindwa nikajaribu konyagi yaani harufu tu natapika nikaja viroba mama yangu ni shida ..casltle lite hizi masaint anna nimeshindwa.yaani naishia kumeza mate tu ..yaani ningekuwa bonge la mlevi kupunguza mastress basi tu pombe zimenikataa naishia kulalalala tu
bora utuzuie kunywa chai sio hiyo kitu ingineAcheni ulevi vijana