Watumia vileo tukutane hapa

Bonesmen

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
929
991
Wakuu mimi ni mdau mzuri wa pombe aina ya Jebel hzi local beers za ngano zinanishida kwa vile tu mtu unamka na hangover sana hebu nijuze vileo vingine tofauti na jebel nitajie ambavyo vina alcohol kubwa kiasi
 
Umejaribu aina ipi na ipi mkuu?
nilijaribu plisner sijui nimepatia miaka hyoo yaani nusu glass nikatapika yote.chuo nikajaribu tusker reds castle zoote nikashindwa nikajaribu konyagi yaani harufu tu natapika nikaja viroba mama yangu ni shida ..casltle lite hizi masaint anna nimeshindwa.yaani naishia kumeza mate tu ..yaani ningekuwa bonge la mlevi kupunguza mastress basi tu pombe zimenikataa naishia kulalalala tu
 
Mimi pia nimtumiaji mnzuri tu was jabel pia batumia valuer brandy,nyagi na grands kwa mbalii nikinywa hizi utumbo hua unatekenya halafu msismuko wake nizaidi ya bia
 
Pole sana tembelea wamasai unaweza pewa dawa zikaanza kupita
 
Mimi pia nimtumiaji mnzuri tu was jabel pia batumia valuer brandy,nyagi na grands kwa mbalii nikinywa hizi utumbo hua unatekenya halafu msismuko wake nizaidi ya bia
Grand ina alcohol gani? price
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom