Mimi huwa nakunywa kavu kavu, kama macho yatatoka acha yatoke tu!Kumbe unakunywa koti.......hiyo haina kupaua........
Wacha niite muhudumu........
Na tonic au ice tu.......?....
Asante mkuu. Kuna wenye wako against pombe wamevamia! Mbona nyuzi nyingi tuu si musome hizo.
Mwambie waitress akuleetee mbili za baridi napita kulipa apo
Achana na mambo ya pombe,dushe kwako ndio kila kitu.nilijaribu plisner sijui nimepatia miaka hyoo yaani nusu glass nikatapika yote.chuo nikajaribu tusker reds castle zoote nikashindwa nikajaribu konyagi yaani harufu tu natapika nikaja viroba mama yangu ni shida ..casltle lite hizi masaint anna nimeshindwa.yaani naishia kumeza mate tu ..yaani ningekuwa bonge la mlevi kupunguza mastress basi tu pombe zimenikataa naishia kulalalala tu
Niombee kwa aliyekuroga aniloge na mimi tafadhari.natamanigi kunywa pombe sana ila sijui nililogwa huwa haipiti kabisa mdomoni
sijui nikaombewe wapi
Inaitwa GrantsGrand ina alcohol gani? price
jaribu henken,savanna au wineni ugonjwa sio bure nimelogwa
natamanigi kunywa pombe sana ila sijui nililogwa huwa haipiti kabisa mdomoni
sijui nikaombewe wapi
Kumbe unakunywa koti.......hiyo haina kupaua........
Wacha niite muhudumu........
Na tonic au ice tu.......?....
Ni Grants mkuuGrands ni 40 % alcohol ya mills 750 kwa bei ya jumla ni ishirini sijajua kama imepanda
nabii nani anaombea huko?