Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Last year Dec, I bought Iphone 14 Pro Max, Space Black 512 GB, 6 RAM hii simu iacheni jamani..
 
Ni kama kumiliki mke mwenye matako makubwa, kila mtu atakuonea wivu lakini cha ajabu mke mwenyewe anakukataza kushika matako yake, na ukiyashika tu hapohapo anakutoa mkono haraka.
Ndio kama iPhone mfano zinakupa limitation kibao na kukataza usidownload app nje ya Appstore na ikigundua tu umedownload hapohapo inafuta app hiyo mara moja.
Lakini overall ni simu nzuri sana
 
Hamna iPhone au Sumsung original inauzwa Tanzania hizo zote either iuzwe na wakala au maduka yaa simu zote ni copy au refurbished.
IPhone 13 pro max original kuipata sio chini ya 4M.

Wake up brother iphone origina zipo, samsung original zipo. Tena una order nje kabisa sio kupitia maduka ya tz. Ww mwenyewe unaeza enda nje ukanunua.

Dunia imebadilika sana, ni rahis kupata origina product , pesa yako tu
 
Oh yeah but processing and os bado wako nyuma
OS ya Google Pixel Ina shida gani[emoji848][emoji848]
Mbona mitandaoni naona inasemekana software ya Google Pixel ndio software bora zaidi kwa Android kwa sababu iko well optimized kuliko software yoyote ile ya Android, Ina mambo machache basic tu ipo simple and clear. Again ni free from bloatware
Wako nyuma kivipi[emoji848][emoji848]
 
Umekuja lini mjini?
Nilianza na iPhone2 hapo zama za kale we upo nanjilinji huko unalima alizeti,sijawahi kupenda Iphone toka hapo ni mateso matupu.
 

Sorry did you say mtandaon google based android ndio bora zaid? Based on who? And what?
 
Hongera na pole mkuu kwenye Camera umetupiga changa la macho.. bado ipo kwa Google Pixel
Umejaribu kulinganisha na Pixel 6 pro Au hata 7??
 
Ushamba mzigo
 
Ninamaanisha nimeona website nyingi huko mitandaoni zikisifia software ya Google Pixel

Website nyingi zinakwenda kwa stats. Even samsung, even sonny , redmi, na brand nyingine kubwa. How many points againts apple ios?
 
Website nyingi zinakwenda kwa stats. Even samsung, even sonny , redmi, na brand nyingine kubwa. How many points againts apple ios?
Pia sikusema software ya Google Pixel imeifikia iOS, nimeongelea Pure Android ya Google Pixel against other Android softwares
iOS ni level nyingine
 
Kipindi cha nyuma inatoka iphone 8 imetoka, mwishoni mwaka 2017 hivi nkabahatika kuishika iphone 8. Nilikaa nayo kwa muda mchache sana na kitu pekee nilichopenda pale ni security tu japo haikutofautiana sana na Samsung S8.

Nikaachana na iphone nikarudi samsung. Iphone ni overated tu, ina maudhi na kero nyingi saaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…