Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Na ndio maana nchi nyingine watu wanauza figo ili wanunue iPhone

Huwakuti wanauza figo ili wajenge

Yani ni watu fulani hivi wanaopenda sana maisha ya kujionesha (japo wapo walio smart ila wengi wao)
 
Baada ya kujichanga kwa muda fulani nikajizolea iPhone 13 Pro Max pale Mlimani city sikutaka zile Kushoto nyingi Mara iphone za Mwenge fake Mara Kariakoo ukinunua ushapigwa tayari

BAADA YA KUJUA SASA
Hakuna iPhone fake labda zile zenye android ni copy kweli kweli ila mpaka upigwe duuuh wewe Hujui simu kwa kweli.

RAHA ZILIZOPO IPHONE
Nimegundua IOS ina sifa nyingi zaidi ya android

Mpaka sasa Ukiwa na iphone unaweza kupromote reels kwenye instagram Wakati hicho kitu android hakipo

Kwenye ufasta hapa iOS Kaua sana ni kuteleza tu kwa chochote utakachofanya iwe online au offline

Picha kali sana hapa mpaka Huyo google pixel akasome anasifiwa tu hana Hizo sifa (japo katika android ni simu kali sana Ila muonekano nao imenyimwaaa kuitoa Zaidi ya million mbili KISA CAMERA TU DUUUH)

Vingine tuongezee
View attachment 2536404
Samsung galaxy s23 ultra umeiona ww?

Mpaka battery imeizidi hiyo aifoni 13
 
Mwaka gani? Huko mjini wanauza pixel za nyuma sana na bado camera umeme,huez fananisha algorithm ya pixel camera na simu yoyote

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Nina jamaa ana pixel 4xl mpaka sasa inatafuta mwaka wa pili kila kitu jau tu kwake
Mpaka anamshinda aliye na iPhone 7 ni version ya kitambo sokoni lakini bado moto

Iphone ni simu hizo zingine ni vifaa vya mawasiliano
 
Kwaiyo kesi ya jamaa yako ndio ina generalize pixel zote? Kaangalie smartphone blind test ya MKBHD utaelewa pixel anafanya nini,hujiulizi why hata developers hawaport camera za OEM wengine kama wanavyo port Gcam ya google,, Iphone 7 haiwezi Kimbiza pixel 4xl kweny camera,kaangalie camera specs gsmarena, tatizo mtu ananunua refurbished na unategemea kwa 100% isikusumbue? Unajua mafundi wa iphone wanavyopata shida ku reball iphone refurbished? Mzee nyamaza tu.

Achana nae huyo
 
Hamna kitu hio simu ni kwajili ya fashion tu... Uhondo wote upo simu za Android tabaka la juu kama Samsung, lg, nokia, sony, Google pixel, xiaomi, n.k. yani hapa iphone anafunikwa, lakini pia kuna simu za android tabaka la kawaida zilizotengenezwa kwa vifaa vya bei rahisi kama vile tecno, infinix na itel hizi huwa zinapitwa kwenye speed na camera sababu ya vifaa vyake lakini vitu vingine iphone bado yupo nyuma.

-Iphone sio simu yenye kamera nzuri kuliko simu zote kama wengi wanavyo danganywa, Kwenye zile simu za android tabaka la juu zipo mashine kama google pixel na xiaomi zinamgaragaza iphone, tatizo la wabongo wanachokosea wanalinganisha camera ya iphone na zile simu za android daraja la kawaida.

-Cable za iphone zinachaji taratibu, zina kasi ndogo ya kuhamisha mafaili na zina ubora mdogo, kampuni ya iphone walishupaza shingo mda mrefu lakini hatimae wamekubali kuanza kutengeneza simu zitazotumia usb cable za android.

-iphone haina tundu la earphones, ni mpaka uwe na earphones za kuchaji zisizo na waya, simu za android unaamua mwenyewe utumie earphones zipi kusikiliza ziwe zenye waya au wireless, unaweza tumia za waya huku unachaji zisizo na waya.

-android kuna apps na games nyingi sana kuliko iphone,

-iphone haiwezi kurekodi simu unazopiga / kupokea

-iphone inatengenezewa vifaa vyake kibao na makampuni ya simu za android.

-iphone haina apps za kutumia internet bure, kwa android kuna apps kama ha tunnel, wire tun, nic vpn na nyingine kibao watu wanazitumia kufaidi internet bure bila kununua vifurushi, kuna kipindi flan hapo mwaka jana watu waliukamua kweli kweli mtandao mwekundu, kushusha gb 20 kwa siku ilikuwa kawaida.

-iphone haina memori kadi, yani simu yako ikiungua au ikifa inaenda na mafaili, android hata simu ikipata hitilafu unabaki na kopi ya mafaili kwenye kadi.

-iphone ni ngumu kuhamisha mafaili kwenda kwa computer, mfano mrahisi simu za android ukitaka kuprint kazi stationery, unachomeka cable, unaifungua simu kwa password, unafungua file la kuprint, yani zoezi la dakika tu, kwa iphone mambo ni mengi inabidi uingize kwanza software kwenye computer ili ufungue mafaili, waweza tumia dakika 10 kumaliza zoezi dogo.

-iphone haina radio, kusikiliza radio ni mpaka uwe na data, ukienda sehemu haikamati internet ama hakuna internet huwezi sikiliza radio.

n.k,,,,

mimi nimeandika kwa uchache tu, kuna pozt ipo humu humu jamiiforums imeelezea mapungufu kibao, kama unataka kuisoma >> minya hapa B]

iphone ni kama vile vimbwa mbwa wadogo kama yule wa wema sepetu wanauzwa milioni 3 ila ni kwajili ya mapambo tu (sijui kama wana kazi nyingine), wale mbwa hata kumtisha paka ni ngumu, ila kuna mbwa waliopitia mafunzo wanauzwa laki 8 wana miili wenye afya, wakibweka hata kama unapita nje mwili unasisimka, wana mbio, hawaumwi magonjwa hovyo hovyo, mwizi akiruka ukuta anashughulikiwa na hata kwenye urafiki ni mbwa anaekuchangamkia.
Mbwa
 
Kwaiyo kesi ya jamaa yako ndio ina generalize pixel zote? Kaangalie smartphone blind test ya MKBHD utaelewa pixel anafanya nini,hujiulizi why hata developers hawaport camera za OEM wengine kama wanavyo port Gcam ya google,, Iphone 7 haiwezi Kimbiza pixel 4xl kweny camera,kaangalie camera specs gsmarena, tatizo mtu ananunua refurbished na unategemea kwa 100% isikusumbue? Unajua mafundi wa iphone wanavyopata shida ku reball iphone refurbished? Mzee nyamaza tu.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu utakuwa Huna akili unanua pixel 4xl refurbished kweli? Na sidhani kama zipo sokoni au sababu sio favorite yangu hata kuifuatilia BIG NO
 
Huyu kwenye simu ameangalia battery tu, but kwenye simu watu wana view zaidi ya battery
Wengi wanaangalia camera,storage n.k hapo kwenye battery simu nyingi zipo vizuri

Iphone yenyewe siku hizi hakuna kutembea na power bank
 
Back
Top Bottom