Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,577
- 15,459
Ukiwaambia iPhone users hilo suala watakushambulia na maneno ya kejeli[emoji38][emoji38]Kipindi cha nyuma inatoka iphone 8 imetoka, mwishoni mwaka 2017 hivi nkabahatika kuishika iphone 8. Nilikaa nayo kwa muda mchache sana na kitu pekee nilichopenda pale ni security tu japo haikutofautiana sana na Samsung S8.
Nikaachana na iphone nikarudi samsung. Iphone ni overated tu, ina maudhi na kero nyingi saaana.