Ngoja uone watakavyokuja kubishaNa kwenye hiyo 13 Pro bado hawezi kukaa meza moja na pixel 4XL kwenye swala la Camera
Wengi saizi wananua kwa ajili ya prestigeIla hakuna kitu kizuri kama kununua kitu kwa kizingatia unahitaji nini hasa kutoka kwenye bidhaa husika.
unaweza nunua kitu cha mamilioni kumbe kwa matumizi yako kifaa cha laki tano tu kingetosha sana.
Zile ni simu za ufahari tu na zilizokiwa advanced kwenye security ila departments nyingine ni overrated tuNgoja uone watakavyokuja kubisha
Kutafuta sifa ili hali watu wanawahi kusahau.Wengi saizi wananua kwa ajili ya prestige
Na ndio maana hata makampuni mengine yanaamua kutengeneza simu nyingi feki ili at least watu waishi kwenye ndoto zao
Unakuta mtu kapiga picha akiwa amesimama kwenye kioo ili ile logo na yale macho matatu yaonekane naye avimbe kuwa ni mtu fulani hivi ambaye sio mnyonge.
Thats why unakuta wengi zinawashinda matumizi kama mdau mmoja hapo juu alivyosema
Ndio ile ya kusema swaga zipo on wakati umeme wa mgaoKutafuta sifa ili hali watu wanawahi kusahau.
Halafu kipato hakijifichi unajua!Umasikini tu watu unawasumbua!Wengi saizi wananua kwa ajili ya prestige
Na ndio maana hata makampuni mengine yanaamua kutengeneza simu nyingi feki ili at least watu waishi kwenye ndoto zao
Unakuta mtu kapiga picha akiwa amesimama kwenye kioo ili ile logo na yale macho matatu yaonekane naye avimbe kuwa ni mtu fulani hivi ambaye sio mnyonge.
Thats why unakuta wengi zinawashinda matumizi kama mdau mmoja hapo juu alivyosema
Na ndio maana nchi nyingine watu wanauza figo ili wanunue iPhoneHalafu kipato hakijifichi unajua!
Unamkuta mtu anatumia simu na ukimwangalia na yeye wala hawaendani kabisa!
Google pixel inakuwasha eehBaada ya kujichanga kwa muda fulani nikajizolea iPhone 13 Pro Max pale Mlimani city sikutaka zile Kushoto nyingi Mara iphone za Mwenge fake Mara Kariakoo ukinunua ushapigwa tayari
BAADA YA KUJUA SASA
Hakuna iPhone fake labda zile zenye android ni copy kweli kweli ila mpaka upigwe duuuh wewe Hujui simu kwa kweli
RAHA ZILIZOPO IPHONE
Nimegundua IOS ina sifa nyingi zaidi ya android
Mpaka sasa Ukiwa na iphone unaweza kupromote reels kwenye instagram Wakati hicho kitu android hakipo
Kwenye ufasta hapa iOS Kaua sana ni kuteleza tu kwa chochote utakachofanya iwe online au offline
Picha kali sana hapa mpaka Huyo google pixel akasome anasifiwa tu hana Hizo sifa (japo katika android ni simu kali sana Ila muonekano nao imenyimwaaa kuitoa Zaidi ya million mbili KISA CAMERA TU DUUUH)
Vingine tuongezee
.Ashakum si matusi!Na nsio maana nchi nyingine watu wanauza figo ili wanunue iPhone
Huwakuti wanauza figo ili wajenge
Yani ni watu fulani hivi wanaopenda sana maisha ya kujionesha (japo wapo walio smart ila wengi wao)
Natumia Napsternet Tv kwenye iOS file la airtel jipange kwenye hizi medani bado kinda-iphone haina apps za kutumia internet bure, kwa android kuna apps kama ha tunnel watu wanatumia internet bure bila vifurushi.
Sasa wenye ubongo kama huo ni wachache mzeeAshakum si matusi!
Mi huwa nawaona ni masikini tu!
Ukiwa na pesa hata kipato cha kati huwezi kuhangaika na mambo kama hayo! Kwa sababu unajua muda wowote ukiihitaji utaipata. Sasa nihangaike na kitu ambacho najua muda wowote nikihitaji nakipata?!
Kichwani mwangu hakipo nawaza mambo mengine!
Baba mwenyewe nyumba umempa Kodi yake lkn?Baada ya kujichanga kwa muda fulani nikajizolea iPhone 13 Pro Max pale Mlimani city sikutaka zile Kushoto nyingi Mara iphone za Mwenge fake Mara Kariakoo ukinunua ushapigwa tayari
BAADA YA KUJUA SASA
Hakuna iPhone fake labda zile zenye android ni copy kweli kweli ila mpaka upigwe duuuh wewe Hujui simu kwa kweli
RAHA ZILIZOPO IPHONE
Nimegundua IOS ina sifa nyingi zaidi ya android
Mpaka sasa Ukiwa na iphone unaweza kupromote reels kwenye instagram Wakati hicho kitu android hakipo
Kwenye ufasta hapa iOS Kaua sana ni kuteleza tu kwa chochote utakachofanya iwe online au offline
Picha kali sana hapa mpaka Huyo google pixel akasome anasifiwa tu hana Hizo sifa (japo katika android ni simu kali sana Ila muonekano nao imenyimwaaa kuitoa Zaidi ya million mbili KISA CAMERA TU DUUUH)
Vingine tuongezee
Mara ya kwanza nafika kazini nilikuwa natumia usafiri wa bajaji. Vijana wenzangu wanapapatika na gari! Na mademu wa kazini nao nunua gari! Wanahadaika na gari!Sasa wenye ubongo kama huo ni wachache mzee
Wengi wanapenda flexing kuyaishi maisha ambayo ma role mode wao wanayaishi.
Mtu anahangaika kujidunduliza ananunua dundo kali la bei juu kwasababu alimuona nalo Chis Brown kalivaa.
Hivyo hivyo kwa simu, na ndio maana hata wale wanao promote maswala ya kisho*** huwatumia ma celebrity kufanikisha malengo yao.
Kwenye ishu ya gari hapo kuna mwanangu iliwahi mtokeaMara ya kwanza nafika kazini nilikuwa natumia usafiri wa bajaji. Vijana wenzangu wanapapatika na gari! Na mademu wa kazini nao nunua gari! Wanahadaika na gari!
Nikawa nawauliza kipi ni special kwenye gari? Wote washikaji na mademu wananiona ni wa maajabu!
Sina nia mbaya na wala situkani mtu ila nikaja kugundua mazingira tuliyokulia yanatofautiana: Mi tangu shule ya msingi shuleni napelekwa na gari ya nyumbani, seko napelekwa na gari ya nyumbani. Muda mwengine nilikuwa nakasirika najiona sipati muda kama wenzangu wanatoka pamoja wanafurahi wanaelekea kituoni. Mi nikitoka nje dereva wa nyumbani yupo nje ananisubiri.
Mpaka nafika Chuo naendeshwa kwenye gari. Nafika kazini naona mtu analitolea macho gari na mademu wanapapatika! Nikawa nawashangaa! Nawauliza kwenye gari kipi ni special?
Mi zipo gari zinanitoa kamasi kwamba kweli hii ni gari! Lakini hizi ambazo nyingi zipo barabarani naona za kawaida. Nikajagundua maisha tuliyokulia ni tofauti na mi gari siitolei macho kwa sababu najua nikijichanga tu kwa pesa yangu binafsi ndani ya miezi kadhaa nanunua!
Kesi kama hii ndo za kwenye simu pia!
Yaani mimi simu imeanguka popote sina haraka ya kuiokota wala nini! Iangukie popote sina tatizo wala nini na hainiumizi kichwa!
Na sikuwa najua kama simu zinatoa warranty kwa sababu simu mi nilikuwa naagiza niletewe natoa hela tu. Warranty sitaki kuisikia kwa sababu hela ya kununua hicho kitu ninacho! Ikiharibika nakwenda kununua nyengine. Nimekuja kugundua mwaka huu baada ya kwenda kununua mwenyewe na nilishangaa na siitilii maanani!