Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,106
- 111,759
Unayo yani ukigusa shwaa hailoadSina aifon mkuu 🙂
Achana na Lenie mzushi
Unayo yani ukigusa shwaa hailoadSina aifon mkuu 🙂
Achana na Lenie mzushi
Biashara imedoda ya maiphone hapo mlimani city sasa unakuja na matangazo ili upate watejaBaada ya kujichanga kwa muda fulani nikajizolea iPhone 13 Pro Max pale Mlimani city sikutaka zile Kushoto nyingi Mara iphone za Mwenge fake Mara Kariakoo ukinunua ushapigwa tayari
BAADA YA KUJUA SASA
Hakuna iPhone fake labda zile zenye android ni copy kweli kweli ila mpaka upigwe duuuh wewe Hujui simu kwa kweli
RAHA ZILIZOPO IPHONE
Nimegundua IOS ina sifa nyingi zaidi ya android
Mpaka sasa Ukiwa na iphone unaweza kupromote reels kwenye instagram Wakati hicho kitu android hakipo
Kwenye ufasta hapa iOS Kaua sana ni kuteleza tu kwa chochote utakachofanya iwe online au offline
Picha kali sana hapa mpaka Huyo google pixel akasome anasifiwa tu hana Hizo sifa (japo katika android ni simu kali sana Ila muonekano nao imenyimwaaa kuitoa Zaidi ya million mbili KISA CAMERA TU DUUUH)
Vingine tuongezee



Kazi kweli yaniHatuna simu
tunatumia infinix asa tutasema nini
Watumiaji wa iphone wengi hawajui kutumia hizo iphone zao.
Mtu ana iphone kama ana tecno tu.
moja ya matumizi ya iphone ni kutembea huku umebinua vitako 
ndiyo maana wanaume wamezi kacha wamebakia nazo makahaba na mashuga mamiUnajua kwanini Pixel 7 pro anatakiwa alinganishwe na the next iphone series na sio hii 14 pro max!!? Still zote zimetoka mwaka mmoja!!? Na kwanini 14 analinganishwa na 6 xl!!? Iphone yupo vizuri ila sio complete kama hivyo unavyomsifia Pixel amewachakaza vibaya sana iOS na androids wenzake
Mambo ya IG hayo 🤣Unayo yani ukigusa shwaa haiload
Hardware and image processing pixel is far better than any iphonePixel amewazidi kwenye hardware ila sio software. Bado wanasafari ndefu
😂 tafuta smile wifi rooter uenjoy maisha, achana na vodaMambo ya IG hayo 🤣
Hujakaa vizuri unapatamo sms ya vodataarifa
Hamna kitu hio simu ni kwajili ya fashion tu... Uhondo wote upo simu za Android (Samsung, lg, nokia, sony, Google pixel, n.k hata hizi simu za bei rahisi kama Tecno na infinix zimetengenezwa kwa vifaa vya bei rahisi ila bado iphone anapigwa kanzu baadhi ya vitu).
-Cable za iphone zinachaji taratibu, zina kasi ndogo ya kuhamisha mafaili na zina ubora mdogo, hatimae wamekubali kuanza kutengeneza simu zitazotumia usb za android.
-iphone haina tundu la earphones, ni mpaka uwe na earphones za kuchaji chaii kila mara.
-android kuna apps nyingi zaidi kuliko iphone,
-iphone haiwezi kurekodi simu unazopiga
-iphone inayengenezewa vifaa vyake na makampuni ya android
-iphone haina apps za kutumia internet bure, kwa android kuna apps kama ha tunnel watu wanatumia data bure.
Naomba mjadala uishie hapa. Mwamba kamaliza.
Rich friends muishi sana 🤣Rich friends ambao ukihitaji laki 2 ya fasta unaipata fastaa🤣🤣
Hee ikoje?😂 tafuta smile wifi rooter uenjoy maisha, achana na voda
😂😂Rich friends muishi sana 🤣
Simu bei ya kiwanja katikati ya mji 😂HUAWEI MATE 40 PRO
Link 25GB + MiFi + FREE SIMHee ikoje?
Laini naweka wapi?
Sh ngapi?
Na kwenye hiyo 13 Pro bado hawezi kukaa meza moja na pixel 4XL kwenye swala la CameraUnajua kwanini Pixel 7 pro anatakiwa alinganishwe na the next iphone series na sio hii 14 pro max!!? Still zote zimetoka mwaka mmoja!!? Na kwanini 14 analinganishwa na 6 xl!!? Iphone yupo vizuri ila sio complete kama hivyo unavyomsifia Pixel amewachakaza vibaya sana iOS na androids wenzake
Sent on My Tecno Pop 2F😀😀Simu ni tekno tu, hizo zingine ni wendawazimu.