Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Mwaka mzima na nusu? Ni uliipenda wewe
kitu chenye hakina maajabu uwa hatumalizi nacho miezi mi3.

Unakumbuka ile nilipewa na bro? Lenie haikumaliza masaa matatu mkononi mwangu nikamrudishia
Kusema ukweli nilikuwa sina namna maana simu niyokuwa natumia mwanzo sikuipenda,

mwanzo nilikuwa natumia samsung s7 edge kipindi ambacho nilinunua hiyo iPhone 12 Pro Max mwanzoni niliichukulia better kuliko simu yangu ya mwanzo mpaka pale nilipokuja kusoma nyuzi ya "nafumua mshono Android vs Iphone" link yake ipo comment ya juu hapo na mule nilijifunza mengi pamoja na kutoa ushuhuda wangu mule na nilipofanya comparison nikagundua Android is better than IOS tangu hapo nikaswitch from Iphone 12 pro max to Samsung na kuupgrade pia kutoka S7 edge to S10
 
Kuna miaka ya 2015 kulikuwa na ujio wa blackberry, unalipa 150,000 kwa mwezi.
zilionekana ni za watu flani classic.... ziko wapi sasa. kuna watu walitombe.sha wee kuzipa.
Ajabu matumizi yake ni kutuma sms za Tshs 54, kupiga simu Tsh 1 kwa sekunde, sawa sawa na wenye siemens c45.
 
Attachments

  • 13930561.jpg
    13930561.jpg
    24.5 KB · Views: 27
Kuna miaka ya 2015 kulikuwa na ujio wa blackberry, unalipa 150,000 kwa mwezi.
zilionekana ni za watu flani classic.... ziko wapi sasa. kuna watu walitombe.sha wee kuzipa.
Ajabu matumizi yake ni kutuma sms za Tshs 54, kupiga simu Tsh 1 kwa sekunde, sawa sawa na wenye siemens c45.
I guess ni 2005?
 
Baada ya kujichanga kwa muda fulani nikajizolea iPhone 13 Pro Max pale Mlimani city sikutaka zile Kushoto nyingi Mara iphone za Mwenge fake Mara Kariakoo ukinunua ushapigwa tayari

BAADA YA KUJUA SASA

Hakuna iPhone fake labda zile zenye android ni copy kweli kweli ila mpaka upigwe duuuh wewe Hujui simu kwa kweli

RAHA ZILIZOPO IPHONE

Nimegundua IOS ina sifa nyingi zaidi ya android

Mpaka sasa Ukiwa na iphone unaweza kupromote reels kwenye instagram Wakati hicho kitu android hakipo

Kwenye ufasta hapa iOS Kaua sana ni kuteleza tu kwa chochote utakachofanya iwe online au offline

Picha kali sana hapa mpaka Huyo google pixel akasome anasifiwa tu hana Hizo sifa (japo katika android ni simu kali sana Ila muonekano nao imenyimwaaa kuitoa Zaidi ya million mbili KISA CAMERA TU DUUUH)

Vingine tuongezee
Weka picha na mimi nitupia na hii android yangu
 
Kuna miaka ya 2015 kulikuwa na ujio wa blackberry, unalipa 150,000 kwa mwezi.
zilionekana ni za watu flani classic.... ziko wapi sasa. kuna watu walitombe.sha wee kuzipa.
Ajabu matumizi yake ni kutuma sms za Tshs 54, kupiga simu Tsh 1 kwa sekunde, sawa sawa na wenye siemens c45.
2015?? Mbona zilikuwepo kabla.. utasikia tukutane BBM
 
Back
Top Bottom