Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi (Watu wasiojulikana)

Uwezo tunao ,changamoto hazikosi ,litapatiwa ufumbuzi,amini,tena bila ya msaada toka nje
 
Chiwaso niweke sawa hapo,

Watu wana uawa alafu yeye anasema ni hujuma kwa Viongozi wa serikali. Ni Rubish.
We need to be realistic, tufanye uchunguzi wa kutosha na kisha tuje na ukweli unaoeleweka.
Kuna tatizo. Isije ikawa ni njia ya kupandikizana uwoga ili watu wasiwe karibu na masuala ya kisiasa. If yes, kwa nini watu wapandikizwe uoga?
Kwa nni mtu anataka-kuogopwa?

We need to set strong hypothesis ili tuweze kujua ukweli. Otherwise, hakuna aliye salama.
Leo yeye. kesho unaweza kuwa wewe.
Aquilinna hakuwa kwenye-siasa, akauawa kwa risasi.
Tunapaswa tuache kabisa kufanya michezo na uhai wa watu.

Wasijione wao wako salama, kama wakiamini hivyo ujue wanajidanganya.
Retaliations haziwezi kumuacha yeyete salama.

Na kibaya zaid ni kuwa, hata shetani naye atatumia mwanya huo huo kutimiza yake.

TUACHE TAMAA ZA UONGOZI NA TUSICHEZEE AMANI.
 
Uwezo tunao ,changamoto hazikosi, litapatiwa ufumbuzi,amini,tena bila ya msaada toka nje

Serikali inayohujumiwa, inaogopa nini kukubali vyombo vya kimataifa vije vifanye uchunguzi huru?

Duniani kuna kipaumbele gani zaidi ya uhai wa binadamu?

Ninaomba hivi. Kama unaongea haya maneno kwa sababu ya upumbavu, Mungu akusamehe.

Lakini kama unaongea hivi kwa sababu unalenga kupotosha ukweli kwa makkusudi, Mungu anisikie. Likupate hili jambo katika mtu wako wa karibu unayemtegemea kwa kila kitu, halafu serikali isimkamate muuaji, wala isifanye uchnguzi wowote wa maana, na wewe useme hakkuna sababu ya kuleta wachunguzi wa nje kwa kuwa niserikali inahujumiwa.
 
thetallest
Tuanzie hapa kwenye ngonjera zako ni lini muuaji na mtesaji wa mpinzani aliyewahi kumkamata
Mauaji na mateso ya hawa nani kakamatwa
Alphonse Mawazo
Mbwambo. ( Usa River)
Masudi Mbwana. (Igunga)
Sengondo Mvungi
Kibanda
Lissu
Madiwani (Hananasif na Morogoro
Acheni mzaha wa hovyo
 
Huu msimamo wako wa kindezi ,hata sina haja ya kumaliza kuusoma, umesema uheshimiwe and i say https://jamii.app/JFUserGuide that! Watu wa ccm mnapenda sana kujitoa ufaham, yaani kama mmetoka sayari ya uranus au brainwashed. Mnaongea mambo ambayo ni very illogical and biased arguments all the time. Ebu acheni mambo yenu ya kujifanya mandezi.
 
thetallest Mtu anaweza jipiga risasi?mbona mkuu wa majeshi haonyeshi kujali kabisa yatokeyao zaidi ya kutuma salamu?mbona haoni kama ni janga kwa taifa na akemee kila katika mikutano yake?mbona hatoi amri hao Watu wasiojulikana a.k.a kikosi kazi kife na wakamatwe?
 
Yaleyale ya ku isolate matukio,kila siku,ni Walewale wengine nyani
 
Ni mawazo yangu tu. Msinitukane, ni dhambi kutukana. Hata mimi nadhani kuwa matendo maovu yanayoendelea (ina maana bado yanaendelea) ni mbinu mbaya sana za kuhujumu uongozi wa Mh. Magufuli. Nadhani wanaofanya unyama huu unaoendelea ni maadui wa serikali.

Maadui hao ama wapo CCM au CHADEMA au Wazalendo ACT???? au wapo Serikalini au wanapata support toka e.g. Migodi iliyokamiwa??? au waliobomolewa??? au waliofukuzwa vyeo au kazi au walio kosa pesa za uhakiki kwenye mishahara ijayo...???. Au nyie humu mnaolishana chuki???? Ndio mnao husika na maovu haya. Au xxxx xxxx xxx.kwenye HAKI, kuna AMANI and then UPENDO unashamiri..

Sote tujenge Haki ili tuwe na amani na upendo. Chuki haisaidii. KUUA WATU KWA MAKUSUDI ILI IONEKANE KUWA SERIKALI NI MBAYA, SIO UZALENDO BALI NI USHETANI.SERIKALI HAIWEZI KUUA WANANCHI WAKE KWA MAKUSUDI. HALI HII HAILETWI NA SERIKALI BALI TUNAJIHARIBIA SISI WENYEWE. Tuache kujenga Chuki bali tupendane.
 


Me nilifikiri una shaka na serikali kukataa kuruhusu wa wachunguzi huru wa wachunguzi wa Scotland a na FBI. Eti una shaka na wanaouawa. Aliyekutuma atakuwa Bashite tu ndio anaweza wa kuwa na akili fivyo kiasi hiki. Amejficha kwenye shamba la Karanga anahisi haonekani.
Serikali haina lakukwepa kwenye haya yanayotokeaa....yote yana maraka za Magu kupitia kwa bashite.
 
Siku utakapoanza kuwa mtumwa wa fikra zako mwenyewe ukaacha kuwa tegemezi wa fikra za wanasiasa uchwara walevi wa madaraka ndipo utaweza kuwa na mchango chanya kwenye jamii
 

Kama Magufuli kawashika vibaya wapinzani, kwanini CCM mnaiba kura hadi mkamuua Aquiline mkiwa kwenye harakati zenu za wizi wa kura kwa kuzuiya form za mawakala wa upinzani??
 
Mkuu ni maoni yako ,naheshimu
 
Mtoa post hii,tumia akili ya kuzaliwa na sio utumie makamasi,
Hivi wewe kama mzazi mwema,unaweza kuua wanao halafu ukaanza kumlaumu jirani yako kuwa ndiye anayeua watoto wako?
 
Serikali haifanyi kazi kama unavyotaka wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…