Watu wazito wananikera

Tuko wengi.Nalalaga ndani miezi mitatu ya mimba changa. Baada ya hapo utanikuta labour.Hayo matonsils yanasumbua watu sana.Wiki iloisha yalimshika Mr.yakampa homa hadi vidonda kwenye lips.
Nlivoona umeandika nkashtuka manake umenigusa.

ahhahaha ukute tunashare MR !huyo bora yalizid !huyu alikua analala tuu hajiwez kila kitu khaaaaaaaaa
 
Shida ni elimu yetu ipo kwenye kukariri zaidi sio kuelewa mf mtu gari anaendesha yeye na spare tyre anayo jeki anayo ila hilo zoezi linamshinda mpaka akodi bodaboda km kumi mpaka oshirini kutafuta fundi
 
ahhahaha ukute tunashare MR !huyo bora yalizid !huyu alikua analala tuu hajiwez kila kitu khaaaaaaaaa
Haki ya Mungu nimeshtuka ulivoandika ivo.
Ila watu tunatofautiana kwenye upokeaji maradhi mwilini.
Mtu mzito anakera ila kama ni uzito wa kujiendekeza huna namna zaidi ya kumchangamsha.
 
i knw u !dah ! nataman nimfungie sehem apigwe pigwe na mipira aisee kichwan akae sawa !jaman hapana too much! na kweli unajua ukiwa unajishughulisha mwili na akili hailali !hongera !mkeo anafaidi !upo active !
 
Wow!!its ok 'twin" karibu.
 
Haki ya Mungu nimeshtuka ulivoandika ivo.
Ila watu tunatofautiana kwenye upokeaji maradhi mwilini.
Mtu mzito anakera ila kama ni uzito wa kujiendekeza huna namna zaidi ya kumchangamsha.

siajjua km anajifanyisha ! hawezi KILA KITU !majuz tu tulipoteza funguo za nyumba ! bas imefika saa 1 tupo nje wote nikajua mwenzangu ameenda kuita fundi avunje mlango !ndo kwanza kaenda glocery kunywa!khaaa nikatafuta ngazi npande juu nirukie kwa chin !aliponiona wacha achachawe kunishusha !khaaa jaman nataman niwe namfinya!wanakera mno jaman !
 
Shida ni elimu yetu ipo kwenye kukariri zaidi sio kuelewa mf mtu gari anaendesha yeye na spare tyre anayo jeki anayo ila hilo zoezi linamshinda mpaka akodi bodaboda km kumi mpaka oshirini kutafuta fundi

nimecheka kwa hasira ova wamfaham
 
WEWE SASA UMENIELEWA !yaan kila kitu anakuachia wewe ukitatue !tena anakuambia kbs ehe ishu fulan itakuwaje sasa> arghh nachoka mie
Ila huwa wanakwaza sana unatamani huo ujinga uliopo kwenye akili yake uunyonye kwa kutumia sindano,
Kiufupi wanatufikirisha sana jamani.
 
Ila huwa wanakwaza sana unatamani huo ujinga uliopo kwenye akili yake uunyonye kwa kutumia sindano,
Kiufupi wanatufikirisha sana jamani.

ney mie nakufa mbavu hahahha! yaan kuna vitu hutakiwi kumwambia mwezako si ufanye wew tu jaman yaan kila kituuuuu ah nahis kuzeeka kbl ya wakat
 
Uje umfinye uone anaumwa kwasasa subiri akipona sasa ndo umpunguze Huu ulelemama alonao
Tatizo la mtu mzito akiugua ndo anakuwa mzito kimoja utahisi anakufwa
 
Binadam wanatoafautaina sana .kuna mwingine toka azaliwe hajui kulima hajui kupishana nanyoka vichakani .kuna wanawake wabara wanaendesha baiskesli mwanamke wampani hawezi kabisa .
 
Kabisa dear, waweza dumaa akili kwa kumfikiria kwanini yupo hivyo.
Ni kuwazoea japo kuna wakati hawazoeleki bila kuwa mkali na kukusisitizia jua hiyo hasara tena kubwa mengi nikisema sasa hapa sisemi heeee utamuona tu yaani leo nimepata hasara ya kutisha naishia kulalama tu
 
Uje umfinye uone anaumwa kwasasa subiri akipona sasa ndo umpunguze Huu ulelemama alonao
Tatizo la mtu mzito akiugua ndo anakuwa mzito kimoja utahisi anakufwa

ova unamjua alikua anatetmeka ananifanya nisilale niwe attention tu muda wote nikauliza unaumwa nn !oh koo linauma na kuwasha !ndo utetemeke kwa makelele yote hayo jaman !uwii toka alhamis kalala had jana !eti ht kuoga haez hahah ! yaan ht kufunha geti mwenzako hawezag eti ukiamka wewe ndo ufunge geti na wakat yy kachelewa kurud!mxiew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…