Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Pole saaDaa haya bwana
Maanake mwezio mapigo ya moyo yalishaanza kuongeza speed , usinielewe vibaya wanaume tuna kaudhaifu ketu.
Wala sijakuelewa vibaya
Pole saaDaa haya bwana
Maanake mwezio mapigo ya moyo yalishaanza kuongeza speed , usinielewe vibaya wanaume tuna kaudhaifu ketu.
Na hata akiuza kijana faida haiwezi kupatikana faida ipo kwenye sura ya wifeAjira kijana atakaeuza nje mkeo atengeneze chapati ndani na faida yote iwe mshahara wa kijana
Kwan wahusika wapo humu!!!
Tahadhari inapotolewa haijalishi muhusika yupo angle gani mkuuKwan wahusika wapo humu!!!
Usihofu wacha nifanye marekebisho ya kiufundiEm tuma picha ya biwifi tumuone maana sio kwa kulialia huko
Ndiko ninakoelea dawa ya kiburi ni jeuriMkuu wawekee bango/tangazo mlangoni kuwa huyo ni mke wako.
Ni kweli lakini vijana wanatakiwa kuelewa mali ni ya mzee mbishimwanamke hachungwi mkuu...... akiamua mda wowote anatoa papuchi na kamwe huwezi kugundua
Ni kweli usipoziba ufa utajenga uk.....Laiti ningejua uja yakishatokea!
sio kama pesa ya kula sina na hii biashara ya wife ni kama vile wengine wameamua kuuza duka tu ila vitoto vikikamata nyumba huwa heshima hakunaSi utafute Pesa sasa. Una wivu huku huna kitu?
Halafu wewe ulijificha PM? Kidogo nije hadi huko kukutafutaHahaahaaa. Mkuu hili ni jibu ambalo linaweza msababisha mleta uzi awe anashinda kwenye kijiwe cha mke wake cha chapati ili sipate kuibiwa mali yake.
Hahahaa. Nilivyoona like yako nikajikuta nashutuka. [emoji12]Halafu wewe ulijificha PM? Kidogo nije hadi huko kukutafuta