Watu wasiojulikana na mke wangu

Watu wasiojulikana na mke wangu

Hahahaa. Nilivyoona like yako nikajikuta nashutuka. [emoji12]

Sijajificha bana mi nipo mbona. Mzima lakini?
Niko poa kabisa hofu kwako.....unaonaje lakini hii ya kufunguliwa biashara halafu jamaa nae yuko hapo tena sio kusaidia ila kuangalia nani anamuangalia mkewe kwa hicho la 'husda', huku si kujitakia ugonjwa wa moyo wa hiyari?
 
Pole sana mkuu, Naona hao mabazazi washajisahau eehh, bora ulinde kilicho chako, watoto wa singeli hawatachelewa kufanya uhuni wao...
 
Mie sijambo kabisa.

Ila huyo anajitafutia ugonjwa wa moyo sio bure kwa sababu kuna biashara ambazo mtu akizifanya kuna baadhi ya mambo hayazuiliki hata siku moja.
 
Ila usipotee sasa bana,naapa haki ya nani vile ukipotea utatafutwa hata kwa tochi moaka kulee wasikofika watu
 
Amani kwenu wadau

Kutokana na maisha kuzidi kupanda kipato kuwa hafifu wife ameamua kubuni kajimradi kake cha kutengeneza chapati ili nae kidogo ajikwamue na ugwadu wa life
Tatizo lipo hapa juzi nimekaa hapa na wengi wa wateja ni wapita njia hawajui kama mmiliki wa ile mali ni mimi maana wacha kidogo nimsifie wife mungu amemjaalia,hivyo wakifika pale wanataka kuonyesha ufundi wa kununua chapati na kuonyesha vibunda vya pesa na kuna watu wasiojulikana huja na gari lenye namba la jina binafsi limeanza na herufi BM.....ninajaribu kuwatahadharisha huyo ni mke wa mtu na mapigo bado nayaweza mimi nimemtoa moshi huyo mwanamke na nyinyi katafuteni wenu kama mnataka kununua chapati nunueni muondoke kuliko kuanza kumsifia mke wa mtu macho na miguu nyie si pia mnayo

Vijana kuweni makini mtaumia mwenzenu nagharamia
Mwanamke hachungwi!
tena hata usimuulizage hayo mambo ndio atafanya kabisa, zaidi muamini tu but kama ndio walewale ataliwa sana na hutojua
 
Ila usipotee sasa bana,naapa haki ya nani vile ukipotea utatafutwa hata kwa tochi moaka kulee wasikofika watu
Hahaaa. Usijali mkuu siwezi kupotea hivyo hadi ifikie hatua ya kutafutwa na tochi.

Uwe na siku njema
 
Pole sana mkuu, Naona hao mabazazi washajisahau eehh, bora ulinde kilicho chako, watoto wa singeli hawatachelewa kufanya uhuni wao...
Wanaona dhahabu mjini zinang'aa lakini hawajui zinakochimbwa
 
Acha uchapiwe, kwani wanaondoka nayo mkuu?
 
Nilifikiria watu wasiojulikana kazi yao ni kuteka na kuua, kumbe kuna wasiojulikana kwa upande wa wake za watu. Hawa wa wake za watu mbona rahisi! Ni tego tu usiangalie makunyanzi, mke wa mtu ni sumu kama hawaioni hiyo sumu ni tego tu
 
Hiyo ni mbinu mtambuka itanisaidia sana
 
Amani kwenu wadau

Kutokana na maisha kuzidi kupanda kipato kuwa hafifu wife ameamua kubuni kajimradi kake cha kutengeneza chapati ili nae kidogo ajikwamue na ugwadu wa life
Tatizo lipo hapa juzi nimekaa hapa na wengi wa wateja ni wapita njia hawajui kama mmiliki wa ile mali ni mimi maana wacha kidogo nimsifie wife mungu amemjaalia,hivyo wakifika pale wanataka kuonyesha ufundi wa kununua chapati na kuonyesha vibunda vya pesa na kuna watu wasiojulikana huja na gari lenye namba la jina binafsi limeanza na herufi BM.....ninajaribu kuwatahadharisha huyo ni mke wa mtu na mapigo bado nayaweza mimi nimemtoa moshi huyo mwanamke na nyinyi katafuteni wenu kama mnataka kununua chapati nunueni muondoke kuliko kuanza kumsifia mke wa mtu macho na miguu nyie si pia mnayo

Vijana kuweni makini mtaumia mwenzenu nagharamia
Kizuri tule wote!! Hata mm nitaanza kwenda kununua chapati kwake!! Kama hautaki watu tumsifie mpe mahitaji ya kutosha abaki nyumbani, mpe uhuru mkeo utamfaidi vizuri lkn ukimbanabana utakuja uposti tena kilio hapa.
 
Back
Top Bottom