Mnyalukolo Vahukaye
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 460
- 383
Endelea kufanya utafit lkn ninauhakuka baada ya WK kadhaa utakuja unatulilia jf...pambana
Chapati ruksa lakini zaidi ya chapati tutashikana uchawiKizuri tule wote!! Hata mm nitaanza kwenda kununua chapati kwake!! Kama hautaki watu tumsifie mpe mahitaji ya kutosha abaki nyumbani, mpe uhuru mkeo utamfaidi vizuri lkn ukimbanabana utakuja uposti tena kilio hapa.
mashaka matupukwa hiyo chura ameongezea nakshi kwenye biashara ya wife
pole mkuumashaka matupu
Dah matatizo ya vijana wenzao tunapendezesha kwa tabu wao wanataka tambararetafuta pesa lazivyo wanambandua
Nishapoa mkuu!pole mkuu
kikipendeza ndiyo kinaonekanaDah matatizo ya vijana wenzao tunapendezesha kwa tabu wao wanataka tambarare
Ameamua kufanya biashara hii kama vile wengine wafanyavyo lakini tatizo kubwa wateja wanajua huyu ni single mamamfiche ndani uhudumie,,
Nafikiria kuhamia sayari ya mars huko hakuna uhuni wa kutamaniana wake!kikipendeza ndiyo kinaonekana
Mkuu mtoe barabarani ukamgharimie nyumbani kama inakuumiza,Amani kwenu wadau
Kutokana na maisha kuzidi kupanda kipato kuwa hafifu wife ameamua kubuni kajimradi kake cha kutengeneza chapati ili nae kidogo ajikwamue na ugwadu wa life
Tatizo lipo hapa juzi nimekaa hapa na wengi wa wateja ni wapita njia hawajui kama mmiliki wa ile mali ni mimi maana wacha kidogo nimsifie wife mungu amemjaalia,hivyo wakifika pale wanataka kuonyesha ufundi wa kununua chapati na kuonyesha vibunda vya pesa na kuna watu wasiojulikana huja na gari lenye namba la jina binafsi limeanza na herufi BM.....ninajaribu kuwatahadharisha huyo ni mke wa mtu na mapigo bado nayaweza mimi nimemtoa moshi huyo mwanamke na nyinyi katafuteni wenu kama mnataka kununua chapati nunueni muondoke kuliko kuanza kumsifia mke wa mtu macho na miguu nyie si pia mnayo
Vijana kuweni makini mtaumia mwenzenu nagharamia
NimekusomaMkuu mtoe barabarani ukamgharimie nyumbani kama inakuumiza,
vinginevyo mfundishe kutumia kauli ya mzee mgabe atakuwa salama" A beautiful woman.....Her private parts will suffer most"
na pesa yake atapata kwa kuuza chapati maana wateja kedekede.
Zote zinafanana mkuu huko saloon ni hatari zaidiMKUU KUMPA MKEO KAZI YA MAPISH NI SAWA NA KUWAPELEKEA FISI MIFUPA.
UNGEMFUNGULIA SALON YA KIKE ANGALAU
UsikondeWeka picha tuone hizo chapati zake kwanza.
rudia kusoma uzi bado babu mbishi nina mapigo kama dawaEndelea kufanya utafit lkn ninauhakuka baada ya WK kadhaa utakuja unatulilia jf...pambana