Watu wasiojulikana na mke wangu

Watu wasiojulikana na mke wangu

Amani kwenu wadau

Kutokana na maisha kuzidi kupanda kipato kuwa hafifu wife ameamua kubuni kajimradi kake cha kutengeneza chapati ili nae kidogo ajikwamue na ugwadu wa life
Tatizo lipo hapa juzi nimekaa hapa na wengi wa wateja ni wapita njia hawajui kama mmiliki wa ile mali ni mimi maana wacha kidogo nimsifie wife mungu amemjaalia,hivyo wakifika pale wanataka kuonyesha ufundi wa kununua chapati na kuonyesha vibunda vya pesa na kuna watu wasiojulikana huja na gari lenye namba la jina binafsi limeanza na herufi BM.....ninajaribu kuwatahadharisha huyo ni mke wa mtu na mapigo bado nayaweza mimi nimemtoa moshi huyo mwanamke na nyinyi katafuteni wenu kama mnataka kununua chapati nunueni muondoke kuliko kuanza kumsifia mke wa mtu macho na miguu nyie si pia mnayo

Vijana kuweni makini mtaumia mwenzenu nagharamia
Unagharamia wapi wewe wakati umeshindwa mpaka mkeo anauza chapati?
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai kiongozi, maandiko yanasema mwanamke ni kiumbe dhaifu. Wewe kujifanya unamlinda nisawa na kuziba tundu la pamba kwa kipande cha samaki. Wanawake wana njia maelfu akiamua kucheat
Sawa mkuu tahadhari muhimu
 
Hahaaa. Nimecheka sana. Ila ndio hivyo abiria kuchunga mzigo wake ni muhimu.
 
Chapati atauza mia tatu.

Wapo watakaotaka kununua makinikia kwa bei ya 10000
 
Mkuu unaishi maeneo gani maana na mimi nazihitaji hizo chapati za shemela na ikiwezekana nimfungulie mgahawa kabisa najua atavuta wateja wengi sana.
 
Lakini huo ndo ukweli kiongozi, mwanamke halindwi, ila anajiheshimu mwwnyewe
Hahaahaaa. Mkuu hili ni jibu ambalo linaweza msababisha mleta uzi awe anashinda kwenye kijiwe cha mke wake cha chapati ili sipate kuibiwa mali yake.
 
Kuwa mpole mkuu.

Kila mwanamke husifiwa kila mahali nami huwa siachi kumsifia mwanamke maana ndio nature yao kusifiwa
 
Mtu Mzima hachungwi, kama anajiheshimu atajiheshimu tuu!!! Mwache mkeo awe huru na biashara yake
 
Amani kwenu wadau

Kutokana na maisha kuzidi kupanda kipato kuwa hafifu wife ameamua kubuni kajimradi kake cha kutengeneza chapati ili nae kidogo ajikwamue na ugwadu wa life
Tatizo lipo hapa juzi nimekaa hapa na wengi wa wateja ni wapita njia hawajui kama mmiliki wa ile mali ni mimi maana wacha kidogo nimsifie wife mungu amemjaalia,hivyo wakifika pale wanataka kuonyesha ufundi wa kununua chapati na kuonyesha vibunda vya pesa na kuna watu wasiojulikana huja na gari lenye namba la jina binafsi limeanza na herufi BM.....ninajaribu kuwatahadharisha huyo ni mke wa mtu na mapigo bado nayaweza mimi nimemtoa moshi huyo mwanamke na nyinyi katafuteni wenu kama mnataka kununua chapati nunueni muondoke kuliko kuanza kumsifia mke wa mtu macho na miguu nyie si pia mnayo

Vijana kuweni makini mtaumia mwenzenu nagharamia
Hao unaowafikiria wala siyo. Anayemtafuna na mbaya wako ni huyo mangi wa kiduka hapo pembeni anapokopa unga wa ngano na mafuta ya kupikia.
 
Amani kwenu wadau

Kutokana na maisha kuzidi kupanda kipato kuwa hafifu wife ameamua kubuni kajimradi kake cha kutengeneza chapati ili nae kidogo ajikwamue na ugwadu wa life
Tatizo lipo hapa juzi nimekaa hapa na wengi wa wateja ni wapita njia hawajui kama mmiliki wa ile mali ni mimi maana wacha kidogo nimsifie wife mungu amemjaalia,hivyo wakifika pale wanataka kuonyesha ufundi wa kununua chapati na kuonyesha vibunda vya pesa na kuna watu wasiojulikana huja na gari lenye namba la jina binafsi limeanza na herufi BM.....ninajaribu kuwatahadharisha huyo ni mke wa mtu na mapigo bado nayaweza mimi nimemtoa moshi huyo mwanamke na nyinyi katafuteni wenu kama mnataka kununua chapati nunueni muondoke kuliko kuanza kumsifia mke wa mtu macho na miguu nyie si pia mnayo

Vijana kuweni makini mtaumia mwenzenu nagharamia
Kwan wahusika wapo humu!!!
 
Back
Top Bottom