min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,138
- 166,755
Hii naipenda zaidi ile sijui kwanini nima alegi nayo😆😹😹 Ile ya kistaarabu si unaona nacheka na kila mtu tofauti na hii ya mikazo classic 😎😎
Hii naipenda zaidi ile sijui kwanini nima alegi nayo😆😹😹 Ile ya kistaarabu si unaona nacheka na kila mtu tofauti na hii ya mikazo classic 😎😎
Bora nisingekutibua 🤣🤣We komah hiyo shikamoo si umpe shangazi yako..!! 😹😹
Unakuwa km shangazi wa mwadui aliniita dada kumbe mbibi wa Tanu 😹😹
Humu JF nimewazidi umri watu wawili tu Marry Diana na cocastic wengine wote wakubwa kwangu 🤣👌😹
Wazee wetu wakinywa mbege wanasema huna "uadui tamparare" 😂Bwashee mimi sina uadui wa kudumu😁
Hahaaha ,mnakunywa mbege ya wapiWazee wetu wakinywa mbege wanasema huna "uadui tamparare" 😂
Mremboo ana amsha amsha kama zote, lazima waja wachanganyikiwe,Nani huyo alikufata pm kukutisha Pumbavu zake 😹😹
Marry Dikompoza em mtaje tumsute, hii platform sio ya ukoo wake asikutishe..!!
Bushmamy kumekucha huku kwa mahi wetu..! 😹
😹😹😹 Shikamoo pia sitoiBora nisingekutibua 🤣🤣
Haya niamkie kaka yako Marry Diana aone dada una adabu 😄
😹😹😹 Marry hapoi wala haboi..!!Mremboo ana amsha amsha kama zote, lazima waja wachanganyikiwe,
NImemlove balaa
Bado hujasema 😹Hii naipenda zaidi ile sijui kwanini nima alegi nayo😆
Si nakuonaga kule mapichapicha dotcom unavyojiliza kwa vibungo.. 😹😹😹Kwanini unasema hivyo lamo?
Sasa hayo si mapenzi ya kweli lamo , mambo ya kuchi kuchi hotaeSi nakuonaga kule mapichapicha dotcom unavyojiliza kwa vibungo.. 😹😹😹
🤣😅😅😅Kenge mamako
Sina mgahawa ,sijawahi kufanya kazi mgahawaniMarry yohana mara ya mwisho ulisema nije mgahawani kwako
Marhaba!! Nafurahi kujua u mzima.Sijambo dada, shikamoo
Ahsante sana, I'm so glad kusikia hivooo🌹🌹Marhaba!! Nafurahi kujua u mzima.
Pamoja dogo lakeAhsante sana, I'm so glad kusikia hivooo🌹🌹