min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,605
Hawa kenge nawakera kinouma huko x , msimu unaokuja kila Big game nipo Trafford 😊Kuna mtu bado anaongelea ubingwa wa Arsenal😃😃😃tushasahau kakosa UEFA basi hana cha kutupigia kelel
Hawa kenge nawakera kinouma huko x , msimu unaokuja kila Big game nipo Trafford 😊Kuna mtu bado anaongelea ubingwa wa Arsenal😃😃😃tushasahau kakosa UEFA basi hana cha kutupigia kelel
Bwashee unabonga kizungu sanaSio kizungu hicho, hizo ni namba za kijapani
Moonshiner niaje mkuu...Marry katukutanisha bwashee Ijumaa leo 😄Hawa kenge nawakera kinouma huko x , msimu unaokuja kila Big game nipo Trafford 😊
Bwashee umepotea kinouma, mnachanga pesa tu😊Moonshiner niaje mkuu...Marry katukutanisha bwashee Ijumaa leo 😄
Kenge mamakoQm nyk kila siku kulialia tu humu jf unatuchosha kenge wewe.
Tunajadili "issues" za dada Marry, huyu mtu muhimu sana huoni tunavyotiririka.Bwashee umepotea kinouma, mnachanga pesa tu😊
Merry ni rafiki yangu , akitaka tunamaliza tofauti zetu🤣Tunajadili "issues" za dada Marry, huyu mtu muhimu sana huoni tunavyotiririka.
Kuzichanga muhimu bwashee rafiki mzuri ni pesa haiwezi kukusnitch 😀
Heee kumbe kuna mambo hivi🙄🙌Shikamoon wakubwa zangu wote
Wadogo zangu hamjambo.
Hebu niulize,kwann baadhi ya wand wanajifanya kumjua mtu zaidi ya anavyojijua yeye.
Nakumbuka wakati najiunga humu aliyenisaidia aliniambia hupaswi,kutumia jina halisi au picha halisi, nilivyo muuliza sababu nini kwanini isiwe hivyo,alinipa sababu nyepesi mno.
Nikaona binafsi nitatunia jina langu na picha halisi lakini nusu ya wanajf wanasema Mimi mwanaume, mwanzo ilikuwa inanikera ila kwasasa nazidi kuona Bora waamini hivyo.
Kingine huu mtandao unaongoza kuwa na watu wasio na kazi maalumu,(hili niliweke kando)
Ukiwagusa na kuwaambia jambo wanakuja juu kimbilio lao ni kuleta chapisho Kwa kiingereza,,kama kutisha fulani umuone ni mtu wa maana.
Mwingine alidiriki kunitumia picha kabisa kuonesha yeye ana duka, mmmmh pole mwaya, wewe bado sana,alivyoshindwa vita hapa, akaona aje PM ,eti atahakikisha nakufa kisa tumetukanana.,sikumjibu zaidi ya kumuhurumia 😂
Usiku mwema braza and sistaz.
Longtime no see😊Alikutisha ulimnyima nini?
Mchachue bhana mi nipo hapa nakusaidia 😹😹Ngoja nimuache tu mshamba
😹😹😹 Hii sasa ndio imekaa kiugomvi nakupokea km ulivyokuja..!!Ya mafia nikishalewa siipendi ipo kiugomvi mno 😄