We komah hiyo shikamoo si umpe shangazi yako..!! 😹😹Wale wa Juice ya tende juice ya tende kuna uzi Marry Diana anashusha vitu karibuni sana 😅
Lamomy shikamoo 😀
Hawa wa hivi unawapataga wapi tumuunganishie na rafiki yetu Intelligent businessman?Marry naomba alfu tano dear...
View attachment 3601866
Kakutumia wapi na PM umepiga komeo halafu punguza kutufanya sisi watoto wewe muandiko wako mboni unafanana na haszu ?Mwingine alidiriki kunitumia picha kabisa kuonesha yeye ana duka, mmmmh pole mwaya,
Wamatengo mna jeuri toka ndugu yenu akalie kiti cha no 2 😹Binti,watu wanaingiza pesa wakiwa wamelala. Weka PM namba yako inayo pokea muamala ili tukuprove wrong...naamini utaacha kudharau watu
Wacha tumuoneshe makali 😀Wamatengo mna jeuri toka ndugu yenu akalie kiti cha no 2 😹
Unataka kumuokotesha Marry mwenyewe..!!
Min wewe sema umemuelewa marry ila hakupi attention 😹😹😹Wanao muita merry Diana ni mwanaume ni wapumbavu , huyu ni mwanamke mpumbavu mpumbavu tu wa uswazi 🚮
Mungu nifundishe kunyamazaHawa wa hivi unawapataga wapi tumuunganishie na rafiki yetu Intelligent businessman?
Wamatengo washika nchi watarajiwa, tutawakoma jukwaani mkichukua kipenga rasmi..!! 😹Wacha tumuoneshe makali 😀
DuuuhMarry Diana wa tabata kinyerezi
Wanyooshe dada🤣🤣🤣
Sijui nacheka nini
Hahaha marry ni binadamu ila sifikiri kama ana ushawishi kwangu lamo😁😁Min wewe sema umemuelewa marry ila hakupi attention 😹😹😹
Marry mbona mtu pouwa yuko real ha-fake life..!!
Siichukiii , ila naifananisha na ya labella the mafia huko x.😹😹😹 Hii sasa ndio imekaa kiugomvi nakupokea km ulivyokuja..!!
Ko ukilewa direct unaanza kuchukia I’d yangu ya MAFIA 😹
Aah! Bwashee unatugeuka wanao 🤣Merry ni rafiki yangu , akitaka tunamaliza tofauti zetu🤣
Wewe unapenda wakufake life na blah blah nyingi..!! 😹😹😹Hahaha marry ni binadamu ila sifikiri kama ana ushawishi kwangu lamo😁😁
Bwashee mimi sina uadui wa kudumu😁Aah! Bwashee unatugeuka wanao 🤣
😹😹 Ile ya kistaarabu si unaona nacheka na kila mtu tofauti na hii ya mikazo classic 😎😎Siichukiii , ila naifananisha na ya labella the mafia huko x.
Kwanini unasema hivyo lamo?Wewe unapenda wakufake life na blah blah nyingi..!! 😹😹😹