Huna hela bwana Acha zakoBinti,watu wanaingiza pesa wakiwa wamelala. Weka PM namba yako inayo pokea muamala ili tukuprove wrong...naamini utaacha kudharau watu
Ni mshamba tuAlikutisha ulimnyima nini?
Ooook poanipo mdog wangu ila kuna kazi naimalizia hapa alf narudi
Unaona sasa naweweDaa yaani akakuringishia duka Takataka.
Pole sana marry lakini kama ni kweli wewe ni mwanaume inatakiwa upewe tuzo ya Oscar kwa kujua kuigiza
Weka no Uokote binti,Huna hela bwana Acha zako
Sawa nakutumiaWeka no Uokote binti,
Naona unaendelea kumpika mkuu😃Wewe sio mwanaume ila ni mwanamke alie changanyikiwa .
Changamka binti,Sawa nakutumia
Sawa hongera zako Kwa kutoka sober na ukawa stableNaona unaendelea kumpika mkuu😃
View attachment 3601860
Bwashee vijana wangu wa manjesta😊Naona unaendelea kumpika mkuu😃
View attachment 3601860
Bwashee ,inakuaje jobless tunaongea kizunguThe only reason I want to try witchcraft, is to be sending bees to the parliament.
Tupo tunavimba tuu hatuna jipyaBwashee vijana wangu wa manjesta😊
Bruno ni jipya kuliko ubingwa wa asenane bwasheeTupo tunavimba tuu hatuna jipya
Asante sana mkuu 🙏🙏Sawa hongera zako Kwa kutoka sober na ukawa stable
Kuna mtu bado anaongelea ubingwa wa Arsenal😃😃😃tushasahau kakosa UEFA basi hana cha kutupigia kelelBruno ni jipya kuliko ubingwa wa asenane bwashee
Sio kizungu hicho, hizo ni namba za kijapaniBwashee ,inakuaje jobless tunaongea kizungu