Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,191
- 24,560
Nipo ndugu yangu, ni mambo mambo tu, habari ya uzima wakoLongtime no see😊

😹😹😹👌Sasa hayo si mapenzi ya kweli lamo , mambo ya kuchi kuchi hotae
hahahahahah ngoja niandae nitakutunuku september Johari Rotana😹😹😹 Sitaki degree nataka Dr Kama ya Samuya..!!
Kama huyu dogo Marry Diana anajifanyaga kama yeye ni mke mdogo wa Mello na ana hisa humu JF.Wewe sio mwanaume ila ni mwanamke alie changanyikiwa .
nyege zilikuisha?Shikamoon wakubwa zangu wote
Wadogo zangu hamjambo.
Hebu niulize,kwann baadhi ya wand wanajifanya kumjua mtu zaidi ya anavyojijua yeye.
Nakumbuka wakati najiunga humu aliyenisaidia aliniambia hupaswi,kutumia jina halisi au picha halisi, nilivyo muuliza sababu nini kwanini isiwe hivyo,alinipa sababu nyepesi mno.
Nikaona binafsi nitatunia jina langu na picha halisi lakini nusu ya wanajf wanasema Mimi mwanaume, mwanzo ilikuwa inanikera ila kwasasa nazidi kuona Bora waamini hivyo.
Kingine huu mtandao unaongoza kuwa na watu wasio na kazi maalumu,(hili niliweke kando)
Ukiwagusa na kuwaambia jambo wanakuja juu kimbilio lao ni kuleta chapisho Kwa kiingereza,,kama kutisha fulani umuone ni mtu wa maana.
Mwingine alidiriki kunitumia picha kabisa kuonesha yeye ana duka, mmmmh pole mwaya, wewe bado sana,alivyoshindwa vita hapa, akaona aje PM ,eti atahakikisha nakufa kisa tumetukanana.,sikumjibu zaidi ya kumuhurumia 😂
Usiku mwema braza and sistaz.
Zishaisha ndiyo Niko sawanyege zilikuisha?
Pumbavu mwenyeweKama huyu dogo Marry Diana anajifanyaga kama yeye ni mke mdogo wa Mello na ana hisa humu JF.
Pumbavu kabisa.
zikipanda tena nishtueZishaisha ndiyo Niko sawa
Huruma za kike zinahitaji kupigwa chumbuli na mie 😋Shikamoon wakubwa zangu wote
Wadogo zangu hamjambo.
Hebu niulize,kwann baadhi ya wand wanajifanya kumjua mtu zaidi ya anavyojijua yeye.
Nakumbuka wakati najiunga humu aliyenisaidia aliniambia hupaswi,kutumia jina halisi au picha halisi, nilivyo muuliza sababu nini kwanini isiwe hivyo,alinipa sababu nyepesi mno.
Nikaona binafsi nitatunia jina langu na picha halisi lakini nusu ya wanajf wanasema Mimi mwanaume, mwanzo ilikuwa inanikera ila kwasasa nazidi kuona Bora waamini hivyo.
Kingine huu mtandao unaongoza kuwa na watu wasio na kazi maalumu,(hili niliweke kando)
Ukiwagusa na kuwaambia jambo wanakuja juu kimbilio lao ni kuleta chapisho Kwa kiingereza,,kama kutisha fulani umuone ni mtu wa maana.
Mwingine alidiriki kunitumia picha kabisa kuonesha yeye ana duka, mmmmh pole mwaya, wewe bado sana,alivyoshindwa vita hapa, akaona aje PM ,eti atahakikisha nakufa kisa tumetukanana.,sikumjibu zaidi ya kumuhurumia 😂
Usiku mwema braza and sistaz.
Hizi huruma za kike zinahitaji kupigwa chumbuli na mie 😋Shikamoon wakubwa zangu wote

Wapo huku bagamoyo kwa awadhi 😂😂😂😂😂Hawa wa hivi unawapataga wapi tumuunganishie na rafiki yetu Intelligent businessman?