Watu wamechoka jamani, mpaka wamefikia hatua hii

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1572984734227.jpeg
 
Hali ni ngumu, KWAKWELI Watanzania wameichoka nchi yao.

Nimemsikia kijana mmoja sokoni akisema kwasauti kuu mfano wa baragumu ''''Yaa haula....Bora Dikteta IDD AMIN DADA aliyekuwa Uganda.

Ikumbukwe maisha yakiwa magumu Uovu unaongezeka.

Kiashiria cha watu kuichoka nchi yao ni pale walipokataa katukatu Kuandikishwa kwenye daftari la wapiga kura, tena walikataa Kwa kutukana na kusema hawataki Mazoea.
 
Nusu ya watanzania tukijitoa kiasi iki mbona atabadilika tu tatizo letu hatujaamua hatujafika kwenye the point of no return.
Asubuuutu huyo kesho ataikanusha hatari...utaambiwa photoshop hyo. Point of no return bado sana wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom