Huwa wanapangaje makundi hatua ya Robo Fainali CAFCL?

Robo fainal huwa haina makundi, hiyo ni hatua ya mtoano yaani home and away. Mwenye matokeo mazuri baina ya mwenzake ndio huenda nusu fainali...

Huwa kuna droo inachezeshwa kujua nani atakutana na nani, lakini droo hiyo huwa inakuwa kwenye makundi mawili, timu 4 zilizoongoza makundi na timu 4 zilizoshika nafasi ya pili... Timu zilizotoka kundi moja huwa hazikutani kwenye hatua ya robo fainali.
Mshindi wa kwanza kwenye kundi atakutana na mshindi wa pili kwenye kundi lingine.
 
ubarikiwe sana, uzi umefungwa rasmi.
 
Bila shaka ulikuwa ukiwatakia wananchi pamoja na kolo mafanikio mema hatua ya robo fainali na hatimaye mwananchi nusu fainali 😎
 
Ofcoz tunajua nyie ni wageni wa hii hatua na kutaka kujua ni jambo nzuri. Usiwe na haraka utajua tu
 
Mgeni kakaribishwa kaingia hadi chumbani kabisa kwenye chumba cha mke wa mwenyeji. Halafu bahati mbaya mwenyeji wake ni mshamba kila siku anaishia sebuleni tu hata ndichi kwa mkewa hakujui. Ila mgeni ndio amekaribishwa na kuzama hadi chumbani, hivyo tutegemee mwenyeji atafundishwa vingi na mgeni wake.
 
Hakuna Makundi Tena Hapo Tunaingia Hatua Ya Mtoano (Knockout) Kila Timu Itapangiwa Timu Yake.

Ambayo Itatakiwa Timu Moja Itoke Na Isonge Mbele Hatua Inayofuata Inaitwa Nusu Fainali Hapo Pia Timu Hiyo Itapangiwa Timu Nyingine Hivyo Hivyo Ikishinda Itaingia Fainali
 
Robo fainal huwa haina makundi, hiyo ni hatua ya mtoano yaani home and away. Mwenye matokeo mazuri baina ya mwenzake ndio huenda nusu fainali...

Huwa kuna droo inachezeshwa kujua nani atakutana na nani, lakini droo hiyo huwa inakuwa kwenye makundi mawili, timu 4 zilizoongoza makundi na timu 4 zilizoshika nafasi ya pili... Timu zilizotoka kundi moja huwa hazikutani kwenye hatua ya robo fainali.
Mshindi wa kwanza kwenye kundi atakutana na mshindi wa pili kwenye kundi lingine.
Droo imepangwa lini?
 
Mgeni kakaribishwa kaingia hadi chumbani kabisa kwenye chumba cha mke wa mwenyeji. Halafu bahati mbaya mwenyeji wake ni mshamba kila siku anaishia sebuleni tu hata ndichi kwa mkewa hakujui. Ila mgeni ndio amekaribishwa na kuzama hadi chumbani, hivyo tutegemee mwenyeji atafundishwa vingi na mgeni wake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa ndio mtafahamu kwanini mwenyeji Amalia mzigo sebuleni. Nyie nendeni huko chumbani mtakikuta mnachokitaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom