Baadhi ya wachezaji wa Simba wamechoka, huo ndio ukweli

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Ukweli mchunguuu Ni kuwa wachezaji Kama CHAMA, KAPOMBE, ZIMBWE, INONGA nk. Wao pia ni binadamu wanachoka.

Kila mechi wao, kuanzia NBC mpaka kimataifa hata mechi za kirafiki ni wao wao tu hata ingekuwa wewe ungeweza ku maintain?

Kapombe, Zimbwe wao ndio kabisa wamechoka kuanzia mwili mpaka akili yaani mechi zotee wao tu zaidi ya miaka mitano....aah!! hii sio kweli bhanaa

Siwezi walaumu Wala kumlaumu kocha kwa sababu ipo wazi hawana mbadala/mtu wa kuwapa changamoto...na hata aje kocha gani bado wataendelea kucheza tu halafu tutaendelea kumtafuta mchawii na kufukuza makocha kila siku na Nusu fainali tutaisikia tu.

VIONGOZI MTUPISHE. Ni muda Sasa wa Simba kupata viongozi sahihi wenye profession ya mpira na sio wana siasa kwenye mpira (alishawahi kusema mecky mexime kocha wa kagera)

Nimemaliza!
 
mbadala wapo israel mwenda,duchu wapo kwanini wasiwapange
 
Tuliwaambia mkaza mafufu sasa mpambano na hali yenu
 
Umekiri wamechoka viwango vimeshuka halafu unasema hawana mbadala, Kwa hiyo kapombe aliechoka bado ni bora kuliko Mwenda au Duchu? Sasa akina Duchu walisajiliwa wa nini kama hawapewi nafasi halafu huku wakongwe mnakiri wamechoka. Kiufupi kocha hajiamini ni kama anapangiwa kikosi na viongozi uchwara.
 
Mpira una matokeo 3 sasa sjui kwa nn mnashindwa kubaliana na matokeo akuna haja ya lawama wala kumtafta mchawi
Ni kweli.....ila kwenye hayo matokeo matatu zipo sababu ambazo hupelekea matokeo husika....mfano timu ikiwa na ubora kwenye kila position kuzidi mpinzani ni obvious itapata ushindi TU nk nk....hapa tunajaribu kuanisha makosa/madhaifu kwa mitazamo yetu kama mashabiki that's all
 
Umekiri wamechoka viwango vimeshuka halafu unasema hawana mbadala, Kwa hiyo kapombe aliechoka bado ni bora kuliko Mwenda au Duchu? Sasa akina Duchu walisajiliwa wa nini kama hawapewi nafasi halafu huku wakongwe mnakiri wamechoka. Kiufupi kocha hajiamini ni kama anapangiwa kikosi na viongozi uchwara.
Mkuu mpira Ni mchezo wa wazi na sote tunaona.....Kama kila siku wanapangwa wao hata wasipokuwa Bora TAFSIRI yake ya haraka Ni wasipokuwa Bora bado Ni Bora kwa wale wanaoshindania namba nao yaani duchu na mwenda.

Kwa upande sio Kama kocha anahusika Sanaa Maana toka aussems mpk Leo Hawa ndio priority Nani wa kulaumiwa???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom