Watu waliosoma Urusi kwanini wakirudi nchini wanakuwa na kasoro fulani?

Hawajui hawa wa shule za kata na vyuo vya jalalani

Sisi tuna soma oxygen hipo period table ya ngapi wao wanasoma quantum kwenye oxygen Kwa nini proton na neutron zipo vipi ndani.wa kata na university mlimani tutasubiri sana
 
IMG_1312.jpg

IMG_1311.jpg

IMG_1310.jpg

Watu wapo kwenye quantum physics sisi tupo kwenye what is physics
 
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale.

Mada yangu ni kwamba kwa nini waliosoma Urusi wakirudi nchini hawarudi wakiwa sawa kwa sababu

Wengine wanaweza kurudi wakiwa na kasoro fulani

Kwa mfano kaka yangu alisoma daktari urusi Ila kuna vitu fulani nikimtazama namuona hayuko sawa Ila ni daktari mzuri sana

Alinishawishi na Mimi kusomea hiyo fani yake japo mi nilisomea mambo ya madawa

Amenifundisha vitu vingi Sana kuhusu madawa na kwa mambo aliyonifundisha naweza kumuua binadamu ndani ya sekunde kumi mpaka ishirini kwa kuchangaya haya madawa ya binadamu.

Yaani mpaka mda fulani najiuliza kuna nini urusi na siyo yeye tu nawafahamu wengi sana waliosoma urusi upande wa madaktari na fani mbali mbali ni watu ambao siyo mchezo mchezo
Kama Dk. Shika?
 
IMG_1317.jpg

IMG_1316.jpg

Lun-class ekranoplan
Hii sijui tuseme nini maana inakimbia spidi ya ndege na kwa ajili ya majini pia kubeba makombora.hawa watu unaweza kusema akili zao zipo sawa
 
IMG_1318.jpg

IMG_1319.jpg

IMG_1322.jpg

IMG_1321.jpg

IMG_1320.jpg

Rais putin aliojiwa na RT new kwa nini wewe ujiwekezi sana kwenye manuali za kubeba ndege na mandege jibu “sisi tunavo vya kuifuta ramani tu na hivo vyote walivyo beba mpaka nchi yao “ vodka baridii mix kahawa
 
Sisi tuna soma oxygen hipo period table ya ngapi wao wanasoma quantum kwenye oxygen Kwa nini proton na neutron zipo vipi ndani.wa kata na university mlimani tutasubiri sana
Noma sana
 
IMG_1323.jpg

Kuna makala nilitoa mada inaitwa nje ya mbingu saba .ndipo ni jua elimu yetu bado sana na sana kabisa hata ule mwezi na jua bado kabisa ni 0% sikuona mtu kuchangia wala kutafuta.sasa tutashinda na hawa watu washaweza kuzitambua mpaka hizo mbingu saba na nje ya mbingu saba.japo wao hawana siasa ni vigezo tu na ushaidi
 
Pombe hizo, kule pombe kibao alafu classic bei chee. Kwenye totoz sasa nyomi lake Si mchezo alafu wanapenda sana ngozi nyeusi.
 
Wanapenda dushe ndefu na nene la Africa wanatabia ya kuomba kuona kwanza yaani kabla hajakupa papa lazima aone kwanza
Pombe hizo, kule pombe kibao alafu classic bei chee. Kwenye totoz sasa nyomi lake Si mchezo alafu wanapenda sana ngozi nyeusi.
 
Inatemea intake gani. Kwa mfano mimi nimesoma kule miaka ya tisini, mbona sina tatizo lolote. Mfano sasa hivi NIKO SEBLENI NIMEKAA JUU YA TV NAANGALIA MAKOCHI YANGU sina tatizo na yoyote.
Hahahahahaaaa daah mzee baba umenichekesha mpaka machozi yamenitoka aisee.
 
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale.

Mada yangu ni kwamba kwa nini waliosoma Urusi wakirudi nchini hawarudi wakiwa sawa kwa sababu

Wengine wanaweza kurudi wakiwa na kasoro fulani

Kwa mfano kaka yangu alisoma daktari urusi Ila kuna vitu fulani nikimtazama namuona hayuko sawa Ila ni daktari mzuri sana

Alinishawishi na Mimi kusomea hiyo fani yake japo mi nilisomea mambo ya madawa

Amenifundisha vitu vingi Sana kuhusu madawa na kwa mambo aliyonifundisha naweza kumuua binadamu ndani ya sekunde kumi mpaka ishirini kwa kuchangaya haya madawa ya binadamu.

Yaani mpaka mda fulani najiuliza kuna nini urusi na siyo yeye tu nawafahamu wengi sana waliosoma urusi upande wa madaktari na fani mbali mbali ni watu ambao siyo mchezo mchezo
Kila wakuja aendaye Urusi (hasa zama za Kisovieti) pana mtu wa KGB alipangiwa kumfuatalia muvu zake zote. Iwapo wakuja huyo ni ME, basi alikabidhiwa KGB KE, ambaye ni single-n-lookin' mrembo wa Kirussia "ili kumfundisha lugha ya Kirusi". Kwa vile mwaka wa kwanza ulitumika kujifunzia lugha, ina maana alikuwa na mwaka mzima wa kuchunguzwa na KGB huyo. Aghalabu, ME wengi waliishia kuwa na mahusiano ya kingono na KGB wao. Kutokana na wanaume wa Kirusi kuwa kwenye mgomo fulani baridi, waoaji walikuwa ni wachache. Hivyo, endapo wakuja yule alitaka kumuacha KGB wake, basi aliunguzwa fyuzi fulani kichwani pake.

Kwa sababu hiyohiyo ya mgomo baridi wa wanaume wa Kirusi, wengi waliishia kunywa vinywaji vikali. Hivyo na wakuja naye alijikuta kwenye utamaduni huohuo.

Na kwa vile pia Ukomunisti ulikataza mambo ya dini, basi wengine pia walirudi hawana imani walizoondoka nazo, na hivyo kuonekana misfit huku walikotoka.

Sababu nyingine ni pale mtu alipojifunza vitu vya sayansi kali, na wakapenda abaki hukohuko kwao, naye akang'ang'ania kuondoka, kadhalika walibutua fyuzi fulani kichwani.

Hizi ndizo stori za vijiweni nilizosikia.
 
GT Mlenge tunaomba mifano ya hao watu
 
Back
Top Bottom