Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,291
GT Mlenge tunaomba mifano ya hao watu
Angalia mtu yoyote aliyekaa muda mrefu Urusi, hasa ya Kisovieti. Aghalabu mojawapo au zaidi ya yafuatayo atakuwa nayo:
1. Atakuwa siyo mtu wa ibada.
2. Atakuwa mtu wa kunywa pombe sana.
3. Atakuwa mtu wa aina yake kwa mandhari ya nyumbani kwake / mavazi yake / haiba yake.
4. Hivyo ni iwapo amerudi nyumbani. Vinginevyo hurudi na KGB wake KE, au huzamia hukohuko majuu.