Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 545
- 684
Usichanganye madaWakuu poleni na majukumu ya hapa na pale.
Mada yangu ni kwamba kwa nini waliosoma Urusi wakirudi nchini hawarudi wakiwa sawa kwa sababu
Wengine wanaweza kurudi wakiwa na kasoro fulani
Kwa mfano kaka yangu alisoma udaktari Urusi Ila kuna vitu fulani nikimtazama namuona hayuko sawa Ila ni daktari mzuri sana
Alinishawishi na mimi kusomea hiyo fani yake japo mimi nilisomea mambo ya madawa
Amenifundisha vitu vingi sana kuhusu madawa na kwa mambo aliyonifundisha naweza kumuua binadamu ndani ya sekunde kumi mpaka ishirini kwa kuchangaya haya madawa ya binadamu.
Yaani mpaka muda fulani najiuliza kuna nini Urusi na siyo yeye tu nawafahamu wengi sana waliosoma Urusi upande wa madaktari na fani mbali mbali ni watu ambao siyo mchezo mchezo.
Nadhani unachanganya wale waliosoma urusi na wale waliomosea magonjwa ya akili. Wengi wanaonekana wana kasoro ninwale waliosomoa magonjwa ya akili.
Siku moja nilikwenda Regency hospital. Nikakutana na huyu Dr. Sikumuelewa. Kwanza kila kitu anapenda ashughulike yrye mwenyewe mambo ambayo madokta wengine huwaachia manurse.
Kupima uzito, kuchukua majibu ya vipimo nk. Nilipouliza manurse huyu Dr amebobea kwenye magonjwa gn , nikajibiwa MAGONJWA YA AKILI. Baada ya hapo ukazuka mjadala kuwa hawa madaktari wa akili ndivyo walivyo, wanakuwa kama na wao zimefyatuka.
Hata hivyo binafsi nilimpenda sana na nilisema moyoni nikimpata magonjwa wa akili nitampeleka kwake.